CDM inatakiwa kuregroup haraka sana

kibunange

Senior Member
Feb 18, 2015
165
250
Napenda niandike kwa uchache sana, ni wakati sasa mbowe kutafakari sana nafasi ya Katibu Mkuu wa CDM..ni bora wamuweke Kigaila ndio mwenye uwezo wa kukivusha chama kwenye wakati huu Mgumu.

Katibu mkuu amelala uzingizi wa pono wakati wezi wanavunja nyumba kwajili ya kuiba mali.

Wapinzani wasife moyo huu ndio wakati mzuri sana kwao kujipima na kujipambanua. Na pia ni wakayi mzuri sana wa ushindi. Wakati adui anatumia nguvu wewe tumia akili.

Buena Fortuna
 

pefhana

Senior Member
Mar 26, 2017
158
250
Mbowe, sijui Lema ( chamdomo), Mchungaji msigwa, na walalamikaji wote cdm kaeni pembeni. Sukeni chama upya, wekeni vijana kwenye nafasi za uenyekiti na katibu...kuna vijana kama mwita, heche, nk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom