CDM huko MJENGONI Tunaomba Msimamo Rasmi

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
CDM huko Mjengoni tunaomba msimamo wa haya MAFAO YA NSSF/PPF NA KAZALIKA, make haiingii akilini kwamba mimi nimefanya kazi mwaka mmoja tu na Mafao yangu yanathamani ya shilingi laki 3 nisubirie hadi nifikie miaka 50, JE KWA WAKATI HUO HAYA MAFAO YANGU YA SH LAKI 3 YATAKUA NA THAMANI GANI?

Tunaomba MSIMAMO WA CHAMA JUU YA HILI MAKE HAIINGII AKILINI KWAMBA MIMI LAKI 3 ZANGU NIZISUBIRIE HADI BAADA YA MIAKA 50
 
Hebu fikiri hali hii, mie nikijana amabye nimeanza kazi nikiwa na umri wa miaka 25 nikafanya kazi kwa mfululizo wa miaka 15 baada ya hapo nikupunguzwa kazi kwasababu yeyote. kulingana na michango yangu nitakuwa nimechangua michango 180 ambayo ndio kima cha chini kwa kustahili kupata pensheni. Lakini nami nitakuwa na umri wa miaka 40. kwa utaratbu huu nitatakiwa kukaa miaka 15 tena kusubiri mafao yangu ya uzeeni hapa naishije?

je kunamtu anayetaka pesa yake ikae bure huko?
 
Kwa uelewa wangu sheria hutungwa na bunge. Je, sheria hiyo ilitungwa na kupitishwa na nani?
 
Back
Top Bottom