CDF Venance Mabeyo, hana kipaji cha kudeliver speeches, hii kazi amuachie Chief of Staff

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
Huyu bosi wa jeshi anashangaza sana. Kila anapofungua kinywa chake na kuongea na umma basi ujue ataongea maneno yasiyo ya kiweledi na yanayokinzana na haiba ya kijeshi.

Leo nimemuona kwenye chombo kimoja cha habari akitoa hotuba kanisani alipohudhuria misa huko kanda ya ziwa.
Alianza vizuri kwa kuwaombea marehemu walazwe mahali pema,akaeleza jinsi walivyofanikiwa kukiopoa kivuko cha MV Nyerere kwa ustadi mkubwa lakini mwisho mwisho kama kawaida yake akachomekea siasa zake uchwara,moja ya kauli ni kwamba wanajeshi wakipewa kazi wanaifanya kikwelikweli na wakishindwa maana yake serikali imeshindwa na serikali ikishindwa rais anaweza kupinduliwa. Hivi hii kauli ilikuwa necessary?!!!!!

Mabeyo hana kipaji cha kudeliver speeches,hii kazi amuachie chief of staff au msemaji yoyote wa jeshi anayeweza kupangilia maneno bila kuingiza siasa uchwara

Mabeyo hana flow nzuri katika uongeaji wake na inawezekana ndiko kunakomfanya achomeke maneno ambayo nahisi hata yeye mwenyewe anakuwa hakupanga kuyaongea

Ajifunze kwa wenzie waliopita hawakuwa watu wa vyombo vya habari,CDF hutakiwi kutokea tokea sana kwenye vyombo vya habari maana tunaamini nyinyi ni watu ngangari na sio wa kiki na tunawaheshimu kwa hilo huku mitaani.
 
Kwa nini asimlinde Raisi? Kajengewa lami mpaka nyumbani kwake ndani ya geti, ana mashangingi mawili mapya ya Nissan anayatumia yote kwa pamoja, Ana Benzi la kisasa analitumia mara moja moja pia ana mashangingi ya V8 mawili aliyokuwa anatumia zamani ambayo bado anayatumia. Jumla ana magari si chini ya matano ya serikali ambayo anayatumia yeye tu. Bado hujaweka yale ya security. Kwa raha hizi kwa nini asimlinde aliyemteua?
Wakati waziri Mwinyi boss wake ana kagari kamoja, mkuu wa majeshi ana magari kama nane hivi ambayo yako kumhudumia yeye tu. Hapo kweli unategemea apindue nchi? Ili apate nini cha ziada?
 
Huyu bosi wa jeshi anashangaza sana. Kila anapofungua kinywa chake na kuongea na umma basi ujue ataongea maneno yasiyo ya kiweledi na yanayokinzana na haiba ya kijeshi.
Leo nimemuona kwenye chombo kimoja cha habari akitoa hotuba kanisani alipohudhuria misa huko kanda ya ziwa.
Alianza vizuri kwa kuwaombea marehemu walazwe mahali pema,akaeleza jinsi walivyofanikiwa kukiopoa kivuko cha MV Nyerere kwa ustadi mkubwa lakini mwisho mwisho kama kawaida yake akachomekea siasa zake uchwara,moja ya kauli ni kwamba wanajeshi wakipewa kazi wanaifanya kikwelikweli na wakishindwa maana yake serikali imeshindwa na wao wanamlinda rais asipinduliwe. Hivi hii kauli ilikuwa necessary?!!!!!

Mabeyo hana kipaji cha kudeliver speeches,hii kazi amuachie chief of staff au msemaji yoyote wa jeshi anayeweza kupangilia maneno bila kuingiza siasa uchwara
Mabeyo hana flow nzuri katika uongeaji wake na inawezekana ndiko kunakomfanya achomeke maneno ambayo nahisi hata yeye mwenyewe anakuwa hakupanga kuyaongea

Ajifunze kwa wenzie waliopita hawakuwa watu wa vyombo vya habari,CDF hutakiwi kutokea tokea sana kwenye vyombo vya habari maana tunaamini nyinyi ni watu ngangari na sio wa kiki na tunawaheshimu kwa hilo huku mitaani.
Mmh!,ngoja waje,hoja imeniingia kwa quote yako
 
Ameongea yaliyo akilini mwake

Means ni kitu ambacho wanakihofia sana na kila Mara wanakidiscuss
 
Ameongea ukweli wanajeshi wananyoosha maelezo kama yalivyo kwani bila hivyo unafikiri tungemuogopa yule anayejiita kichaa, yule anayejiita kichaa tunamuogopa kwa sababu ya wanajeshi bila hivyo ingekuwa habari nyingine
Tumuombe Mungu tu kagame asije kumbeep kama alivyombeep na kumtukana JK sipati picha kitakachotokea maana ameshasema yeye ni kichaa na hajaribiwi
Hapa mi siongei kitu ngoja nikae pembeni nyie endeleeni tuu.
pita haraka sana kabla hatujakuunganisha na wewe tena kaa mbali kabisa
 
Alichosema ni sahihi, ila swali lako ni kama hiyo kauli ilikuwa na ulazima. Jibu la hilo swali lako linategemea na speech nzima ilikuwaje. Huwezi kutoa sehemu tu ya speech halafu ukataka watu wajustify hiyo kauli.
 
Back
Top Bottom