CDF Mabeyo, IGP Sirro na TISS DG Diwani watoa neno kwa maafisa wa Jeshi la polisi CCP Moshi!

Weledi utoke wapi wakati juzi tu wametangaza kazi na kigezo cha elimu ni division four ya form IV?
Sasa hao wa JWTZ na TISS wamefuata nini huko?
Huwezi chukua watu wenye Phd kuwa madereva wa difenda au watu wa kwenda ulinzi wa bank watu wenye masters au phd hivyo Elimu zote zinatakiwa majeshini sasa ebu jiulize watu 2030 wenye elimu ya chuo kikuu wamepandishwa vyeo sasa wewe unataka jeshi liendeshwe na wasomi tupu nani atafanya kazi zinazohitaji nguvu tu kama ushonaji nguo,kuzibua Chemba kufukuzana na vibaka.
 
Kikuwa na wasomi watupu, watazibua chemba pia, ila watazizibua kitaalamu na vizuri zaidi ya hao level za chini!!!
 
Back
Top Bottom