CDF Mabeyo ameviagiza vikosi vya JWTZ kujitosholeza kwa chakula, asema nchi ikiwa na njaa amani inatoweka

Na huku kusini tatizo bado ni kubwa mno,bandidos wametamka kama wanajeshi wa SADC wana ubavu wawafuate kwenye mapori!jimbo la NASSA nalo linawaka !
 
Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Mabeyo ameagizi vikosi vya JWTZ kuweka akiba ya chakula kwa ajili ya jeshi na taifa kwa ujumla.

Mabeyo amesema nchi mikikosa chakula inakuwa na njaa na panapoingia njaa Amani hutoweka.

Chanzo: ITV habari
Mbona sijaelewa Kwamba , vikosi vikowa na chakula kutosha basi njaa ikipiaga chakula hicho kitawatosheleza wananchi,au namna gani pale?
 
Nchi ina mito, ina maziwa, imezungukwa na bahari, ina ardhi yenye rutuba lakini bado inahangaika kujitosheleza na chakula. Kanchi kadogo kama Israel ambako kako jangwani kabisa, hakana ardhi ya kutosha, kanajitosheleza na chakula na mpaka kanauza matunda, mboga za majani nje ya nchi. Hii nchi imelaaniwa kwa maovu waliyofanya Zanzibar ya kumwaga damu za watu wasio na hatia. Ndiyo maana haina maendeleo.
 
Huyu nae ajira za jeshi hatangazi siku hizi.

Jeshi ashalifanya lake.
Mmh Jeshi wameajiri watu wengi sana mwaka jana mwishoni na mwaka juzi. Kwa lugha nyepesi kwa miaka mitatu wameajiri 10000+
Ila kwa wale walio JKT.
 
Back
Top Bottom