CDC wakutana kujadili kesi za kuvimba moyo za waliopata chanjo ya Moderna na Pfizer

Msiwe wajinga kiasi hiki..waTanzania wanao kwenda Ulaya ni kama 8% tu hapa nchini,kitu kina madhara mamtu yameng'ang'ania tu

Pumbavu kabisa
8% kubwa sana...
Kwa idadi ya sensa milioni 56 ya watanzania...asilimia nane ni milioni nne...wanaoenda nje ya tz tu na sio ulaya hawafiki milioni nne kwa mwaka...
 
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimepanga kikao cha dharura Juni 18, 2021 ili kujadili waliopata chanjo ya ~COVID19 ya Pfizer na Moderna ambao wamevimba moyo

Watu 226 wameripotiwa kuwa na tatizo la myocarditis a pericarditis baada ya kupata chanjo. Wengi wameripotiwa kupona lakini 41 bado wana dalili, 15 wamelazwa na3 wapo ICU

Pfizer na Moderna ni kati ya chanjo zilizoidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kutumika katika kupambana na #COVID19

====

The Centers for Disease Control and Prevention announced Thursday that it will convene an "emergency meeting" of its advisers on June 18th to discuss rare but higher-than-expected reports of heart inflammation following doses of the mRNA-based Pfizer and Moderna COVID-19 vaccines.

So far, the CDC has identified 226 reports that might meet the agency's "working case definition" of myocarditis and pericarditis following the shots, the agency disclosed Thursday. The vast majority have recovered, but 41 had ongoing symptoms, 15 are still hospitalized, and 3 are in the intensive care unit.

The reports represent just a tiny fraction of the nearly 130 million Americans who have been fully vaccinated with either Pfizer or Moderna's doses.

"It's a bit of an apples-to-oranges comparison because, again, these are preliminary reports. Not all these will turn out to be true myocarditis or pericarditis reports," cautioned Dr. Tom Shimabukuro, a CDC vaccine safety official.

Shimabukuro said their findings were mostly "consistent" with reports of rare cases of heart inflammation that had been studied in Israel and reported from the U.S. Department of Defense earlier this year.

The CDC is working on more data and analysis on the reports ahead of the emergency meeting of its own advisers next week, he said, and also planned to analyze the risk of heart inflammation posed by catching COVID-19.

The new details about myocarditis and pericarditis emerged first in presentations to a panel of independent advisers for the Food and Drug Administration, who are meeting Thursday to discuss how the regulator should approach emergency use authorization for using COVID-19 vaccines in younger children.

After earning an emergency use authorization for its COVID-19 vaccine in Americans as young as 12 last month, Pfizer announced this week it had decided on doses to use in a clinical trial in children as young as 6 months old and hoped to submit data by October. Moderna said Thursday that it too had requested the FDA's permission to give its mRNA vaccine to adolescents.

While Pfizer has said they expect to wrap up trials for children as young as 2 by September, FDA officials have previously cautioned that authorizing vaccines for these age groups could take longer — "mid to late fall" at the earliest — citing the additional follow-up data needed for children after they receive the shots.

"We recognize that some adverse reactions, for example myocarditis or pericarditis as discussed earlier today, may be too infrequent to detect in a safety database of typical size for pre-licensure clinical trials," said Dr. Doran Fink, a top official in the FDA's vaccine office.

The CDC previously disclosed that reports of heart inflammation were detected mostly in younger men and teenage boys following their second dose, and that there was a "higher number of observed than expected" cases in 16- to 24-year-olds. Last month, the CDC urged providers to "ask about prior COVID-19 vaccination" in patients with symptoms of heart inflammation.

"Risk-benefit considerations to determine whether to issue an emergency use authorization for use of a COVID-19 vaccine into healthy pediatric individuals will need to account for this information, and risk-benefit consideration will likely be different, not only compared to those for adults, but also they may be different for younger versus older pediatric groups," Dr. Marion Gruber, director of the FDA's vaccine office, said at the meeting.

Source: CBS News

Hii ni habari njema sana kwa ile mimburala isiyotaka tuchanjwe wote.

Ajabu ni kuwa si kwamba wao tu hawataki chanjo, bali kwamba hawataki tuchanjwe wote!

Hiiiiii bagosha!

Hata kama waliopata madhara yasiyothibitishwa ni 226 katika mamilioni waliochanjwa?!

Aaah wapi!
 
Msiwe wajinga kiasi hiki..waTanzania wanao kwenda Ulaya ni kama 8% tu hapa nchini,kitu kina madhara mamtu yameng'ang'ania tu

Pumbavu kabisa

Chanjo si ni hiari? Wewe si usichanjwe?

Muwasha washwa hadi kutukana watu usiowajua waupata wapi?
 
Sijui hizi chanjo zinategemea mtu na mtu, niliona Astra Zeneca ikilalamikiwa kuleta madhara ila mimi nilichanja sijapata madhara yoyote, wana familia wangu wengi wamepata Astra zeneca pia bila madhara, baadhi ya watu wengine pia nawafahamu wamepata chanjo hiyo bila madhara, atlist ndani ya watu 50 ninaowafahamu kupata hiyo chanjo, dada mmoja alikua mjamzito alipoteza mimba wiki kadhaa baada ya chanjo, lakini mpaka sasa we are not sure kama sababu ni chanjo au chanzo kingine kwa sababu ana historia ya kuharibu mimba kila anapofika miezi mitano
Na ndio pia huwezi kuwa na uhakika kwamba haujapata madhara kabisa au pengine umepata madhara ya muda mrefu ambapo dalili zake hazijaanza kuonekana hivi karibuni.
 
Utaanza ona athari yake baada ya miaka 2.it kills slowly
 
Sijui hizi chanjo zinategemea mtu na mtu, niliona Astra Zeneca ikilalamikiwa kuleta madhara ila mimi nilichanja sijapata madhara yoyote, wana familia wangu wengi wamepata Astra zeneca pia bila madhara, baadhi ya watu wengine pia nawafahamu wamepata chanjo hiyo bila madhara, atlist ndani ya watu 50 ninaowafahamu kupata hiyo chanjo, dada mmoja alikua mjamzito alipoteza mimba wiki kadhaa baada ya chanjo, lakini mpaka sasa we are not sure kama sababu ni chanjo au chanzo kingine kwa sababu ana historia ya kuharibu mimba kila anapofika miezi mitano
What about dizziness, hallucinations, headaches and insomnia? So many people reported these effects after receiving the jab.
 
Sijui hizi chanjo zinategemea mtu na mtu, niliona Astra Zeneca ikilalamikiwa kuleta madhara ila mimi nilichanja sijapata madhara yoyote, wana familia wangu wengi wamepata Astra zeneca pia bila madhara, baadhi ya watu wengine pia nawafahamu wamepata chanjo hiyo bila madhara, atlist ndani ya watu 50 ninaowafahamu kupata hiyo chanjo, dada mmoja alikua mjamzito alipoteza mimba wiki kadhaa baada ya chanjo, lakini mpaka sasa we are not sure kama sababu ni chanjo au chanzo kingine kwa sababu ana historia ya kuharibu mimba kila anapofika miezi mitano

Kwanza hongera kwa kuchanjwa wewe umeshavuka mto.

Sisi huku ni makelele ya mamburula tu kila kona eti chanjo ni kutumaliza watu weusi.

Kwa ulichokiandika ni habari mbaya mno kwa mamburula hayo kutokea pande za milima ya kwetu.
 
Na ndio pia huwezi kuwa na uhakika kwamba haujapata madhara kabisa au pengine umepata madhara ya muda mrefu ambapo dalili zake hazijaanza kuonekana hivi karibuni.
Sina sababu ya kuamini the negative side only, i have to see the positive side of the vaccine, negative side ni matokeo, lakini ni vizuri kujifunza kuwa positive
 
Sina sababu ya kuamini the negative side only, i have to see the positive side of the vaccine, negative side ni matokeo, lakini ni vizuri kujifunza kuwa positive
Nilitaka tu kukwambia usiseme kuwa hakuna madhara kabisa kwa sababu hujaona madhara kwa muda mfupi kama inavyowatokea wengine, sina maana kuwa lazima upate madhara ukichanjwa.
 
Angalia viongozi waliojisahaubaada ya kukaa madarakani kwa muda wa kupitiliza! Wanaamini wanawa'own' wananchi kama wanavyo wa'own' ng'ombe wao mashambani! Hawana haki juu ya nini kidungwe ndani ya miili yao! Kama wanavyofanyiwa ng'ombe ndivyo waganda sasa wanavyolazimishwa kuchanjwa 'experimental vaccines'!
Akili kubwa big up!. Wananchi/mwananchi kuwa Mali ya kiongozi/viongozi kama mnyama wa kufunga vile. Hakika umenena.
Nimemkubali Rais Putin wa Russia aliyesema VACCINATION IS NOT MANDATORY TO THE RUSSIAN PEOPLE
 
Sijui hizi chanjo zinategemea mtu na mtu, niliona Astra Zeneca ikilalamikiwa kuleta madhara ila mimi nilichanja sijapata madhara yoyote, wana familia wangu wengi wamepata Astra zeneca pia bila madhara, baadhi ya watu wengine pia nawafahamu wamepata chanjo hiyo bila madhara, atlist ndani ya watu 50 ninaowafahamu kupata hiyo chanjo, dada mmoja alikua mjamzito alipoteza mimba wiki kadhaa baada ya chanjo, lakini mpaka sasa we are not sure kama sababu ni chanjo au chanzo kingine kwa sababu ana historia ya kuharibu mimba kila anapofika miezi mitano
Uko wap
 
Back
Top Bottom