Elections 2010 Cd za mdahalo wa dr slaa

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
CD ZA MDAHALO WA DR SLAA

Napenda kuwajulisha kwamba CD za Mdahalo wa DR W P Slaa sasa ziko Tayari kwa ambaye atakuwa anazitaka anaweza kupiga namba 0766 334049 au tuma email kwenda friendsofslaa@gmail.com Gharama yake ni shilingi Alfu 10

Unaweza kutumiwa popote ulipo Tanzania
 
asante wewe unapatikana maeneo gani maana kazi unayoifanya ni ya kizalendo hasa endelea naman hiyo mkuu kwa ajili ya ukombozi wa mtanazania
 
Back
Top Bottom