CD za Matusi Ya Lusinde

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Wakuu wa CDM naomba kuuliza kama mjasiriamali huyu atakua anakitendea fair Chama chetu cha CDM. Amerudufu CD 100 za matusi ya Lusinde kwa kuanzia na anataka akawape wale vijana wanaogonga madirisha ukiwa kwe foleni afu ukifungua tu wanakuonyesha "pilau". Siku hizi hao vijana wanaprint picha za uchi za akina Ant Ezekiel, Wema, Lulu nk kuvutia wateja. Je biashara itamlipa au atakua anakidhalilisha chama?
 
Zipelekwe Mtera wananchi wake wakaone upumbavu wa mbunge wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom