cd za ccm hazinunuliki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

cd za ccm hazinunuliki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jun 19, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM KUTUMIA MAKADA WAKE WOTE MAWAZIRI WABUNGE NA WAPAMBE WAO WOTE WAMESHINDWA KUUZA CD ZAO MITAANI BADALA YAKE WANAANZA KUFUNGA MADUKA YAO
  1 CD YA UKABILA
  2 CD YA UDINI
  3 CD YA UKANDA
  KWA KUWA WATANZANIA WENGI NI WAELEWA CCM IMEANGUKIA PABAYA KWA KUKOSA WANUNUZI WARNING:SASA CCM INAWATUMIA UAMSHO KUWAGAWA WATANZANIA BILA KUJUA WAZANZIBARI WAMEINGIZWA MJINI HIYO NI HUJUMA YA CCM KUOGOPA MABADILIKO YANAYOKUJA 2015 THE ONLY WAY NI KUWAGAWA WATANZANIA KWA KUWATUMIA AKINA SHEIKH MPONDA NA WAJINGA WENZAKE
  :bump:


   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hata wangetoa bure hatuchukui,mavi yanini wakati huu.?
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  unacheza sarakasi umevaa taulo unategemea nini
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu hizo CD zinaharibu Redio zina scratch sana
   
Loading...