Cd-Rom ya Desktop, NAUZA ! Offers Accepting !

smak786110

Member
Jan 24, 2008
90
2
Ninayo CD ROM ya Desktop....Almost new, I upgraded my PC with CD Writer..

- Its almost new, CD ROM...Working, GIVE OFFERS !

Piya, Ninayo Laptop...Lakini screen yake its almost not standing, plus keyboard keys some of them have problems...
Give offers if interested !
 
watumiaji wa JF wengi washavuka level ya kutumia CD ROM.....hizo kazitoe sadaka pale VETA vijana wajifunzie...
 
Unauza vitu gani tena maana nakuwa sielewi elewi...

Tafuta kijana ambaye yupo interested na kutaka soma mambo ya Pc Repairs and Maintanance kisha umpe zitamsaidia katika mafunzo...

Ukishindwa jaribu kutafuta chuo cha mafunzo/ Ufundi stadi chochote kile kisha uwape huo msaada... Natumaini utakuwa umefanya jambo kubwa sana kuwasaidia hao wanafunzi kuliko kujaribu kuuza hapa JF...

Mtu atatoa offer anunue kwa TZS 750/= uone anakukashifu!
 
Smak.....! Mwanzo Nilikuelewa, Ila Wachangiaji Wengine Wanaanza Kunishawishi Nami Nifate Muelekeo Wao....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom