CCTV za Bunge zamnasa Mbunge wa CHADEMA akimvua baraghashia Mh. Mlinga

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,863
image.jpeg

Ikiwa ni siku tatu zimepita tangu mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusimama bungeni na kuomba mwongozo wa spika kuhusu kitendo cha kuvuliwa kofia ‘baraghashia’ na mbunge wa viti maalum CHADEMA Anatropia Theonest. Naibu spika Dk. Ackson Tulia kalitolea ufafanuzi baada ya kupitia CCTV camera za bunge .

Dk. Tulia alisema…>>>’Mbunge Goodluck Mlinga katika mwongozo wake alilalamikia kitendo cha mbunge Anatropia kumvua baraghashia aliyokuwa amevaa siku hiyo, kitendo kilichomfanya asiwe na sifa ya kukaa ndani ya bunge kama sheria inavyosema‘ –Dk. Tulia Ackson

Nimepitia picha za video za siku hiyo na nimejiridhisha ni kweli baada ya kusomwa dua wabunge wa kambi ya upinzani walianza kutoka nje ya bunge na mbunge Anatropia alipita sehemu aliyokaa Goodluck na kumvua kofia aliyokuwa amevaa na kisha kutokanayo nje ya bunge‘ –Dk. Tulia Ackson

Kitendo hicho kilikuwa cha kudharau kiti cha spika pia kilikuwa kitendo cha fujo ndani ya ukumbi wabunge, nachukua hatua ya kutoa onyo kali kwa mbunge Anatropia kwamba kitendo alichokifanyi ni ukiukwaji wa sheria za bunge na endapo atarudia sheria mahususi zitachukuliwa‘ –Dk. Tulia Ackson

Chanzo: Milladi Ayo
 
View attachment 359944

Ikiwa ni siku tatu zimepita tangu mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusimama bungeni na kuomba mwongozo wa spika kuhusu kitendo cha kuvuliwa kofia ‘baraghashia’ na mbunge wa viti maalum CHADEMA Anatropia Theonest. Naibu spika Dk. Ackson Tulia kalitolea ufafanuzi baada ya kupitia CCTV camera za bunge .

Dk. Tulia alisema…>>>’Mbunge Goodluck Mlinga katika mwongozo wake alilalamikia kitendo cha mbunge Anatropia kumvua baraghashia aliyokuwa amevaa siku hiyo, kitendo kilichomfanya asiwe na sifa ya kukaa ndani ya bunge kama sheria inavyosema‘ –Dk. Tulia Ackson

Nimepitia picha za video za siku hiyo na nimejiridhisha ni kweli baada ya kusomwa dua wabunge wa kambi ya upinzani walianza kutoka nje ya bunge na mbunge Anatropia alipita sehemu aliyokaa Goodluck na kumvua kofia aliyokuwa amevaa na kisha kutokanayo nje ya bunge‘ –Dk. Tulia Ackson

‘Kitendo hicho kilikuwa cha kudharau kiti cha spika pia kilikuwa kitendo cha fujo ndani ya ukumbi wabunge, nachukua hatua ya kutoa onyo kali kwa mbunge Anatropia kwamba kitendo alichokifanyi ni ukiukwaji wa sheria za bunge na endapo atarudia sheria mahususi zitachukuliwa‘ –Dk. Tulia Ackson

Chanzo:Milladi Ayo
pumba tupu badala ya kutetea wananchi wabunge wa ccm kazi yao ndio hiyo.

swissme
 
Siku zote tangu kuingia madarakani kwa serikali ya awamu ya tano, vyama vya upinzani vimepata misukosuko na upinzani mkubwa toka mkono wa serikali badala ya kutoka kwa chama pinzani chenzake cha CCM, lakini wakati wote msajili hakupata kufungua kinywa chake hata angalao kukemea, alikaa kimya wakati maandamano na mikutano yao ikizuiliwa kwa visingizio kadha wa kadha.

Lakini baada ya mheshimiwa Rais kugongelea msumari wa fitna za vyama, kwamba wakati wa kupiga siasa umeisha vyama visubiri kampeni za mwaka 2020 ndiyo vifanye siasa leo ndiyo msajili anakurupuka kutoa tafsiri ya kauli ya Rais.

Kauli hii ya msajili imejaa matege kiasi kwamba kwangu haiwezi kusimama kama wahusika hawatawapa wananchi majibu ya maswali haya machache, kwa mfano;

1. Hivi baada ya kauli ile ya Rais msajili alimtafuta Rais akampa tafsiri ya kauli ile ambayo sisi sote hatukuwa tumeielewa?

2. Hivi Rais aliitoa kauli ile akiwa ndani joho la chama chake au alikuwa kavaa joho la serikali kama Rais? Ili tujue msajili kaifafanua kauli ile kama ya chama au ya serikali? Hivi yeye si ni msajili wa vyama vya siasa?

3. Kama Rais baadaye aligundua kuwa kauli yake haikuwa imeeleweka kwa watanzania aliona inaswihi kuipitishia kwa msajili wa vyama vya siasa badala ya msemaji wa serikali/ikulu?

4. Akiwa mlezi wa vyama vya siasa nchini, angeweza kufanya hivyo kama kauli hiyo ingekuwa imetolewa na maalim Seif au Mbowe?

5. Katika mtazamo wa kawaida, msajili akijipima haoni kama naye ameanza kuchagua pa kuegemea kwa kutafsiri kauli za ukandamizaji zinazotolewa na serikali badala ya kumtaka mtoa kauli afafanue kauli yake kwa watanzania wamsikie.

6. Ni kwa nini msajili hayatolei tamko matendo yote ya uminyaji demokrasia yanayofanywa na vyombo vya dola, mpaka wanapelekana mahakamani lakini yeye kajikalia kimyaa kama haoni lakini katika hili kanyanyuka, kuna nini nyuma ya ukuta?
 
Huyu mama aliyemvua kofia mbunge mwenzie ndio kazi tuliyomtuma bungeni.

Chadema mbona hamuishi utoto
 
pumba tupu badala ya kutetea wananchi wabunge wa ccm kazi yao ndio hiyo.

swissme
hapo ndo naposhangaa unaposema wabunge wa ccm!!!!! alieanza utoto ni mbunge wa chadema, tena jembe langu la segerea, alaf wew unawasema wa ccm tu. ccm na ukawa wote wana michezo ya kitoto. tangu lini watu wazima wenye akili zao timamu wakavuana kofia hadharani, alaf na huyo aliovuliwa analishikilia bango kama ni jambo la maana sana???? ni ujinga mtupu
 
View attachment 359944

Ikiwa ni siku tatu zimepita tangu mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusimama bungeni na kuomba mwongozo wa spika kuhusu kitendo cha kuvuliwa kofia ‘baraghashia’ na mbunge wa viti maalum CHADEMA Anatropia Theonest. Naibu spika Dk. Ackson Tulia kalitolea ufafanuzi baada ya kupitia CCTV camera za bunge .

Dk. Tulia alisema…>>>’Mbunge Goodluck Mlinga katika mwongozo wake alilalamikia kitendo cha mbunge Anatropia kumvua baraghashia aliyokuwa amevaa siku hiyo, kitendo kilichomfanya asiwe na sifa ya kukaa ndani ya bunge kama sheria inavyosema‘ –Dk. Tulia Ackson

Nimepitia picha za video za siku hiyo na nimejiridhisha ni kweli baada ya kusomwa dua wabunge wa kambi ya upinzani walianza kutoka nje ya bunge na mbunge Anatropia alipita sehemu aliyokaa Goodluck na kumvua kofia aliyokuwa amevaa na kisha kutokanayo nje ya bunge‘ –Dk. Tulia Ackson

‘Kitendo hicho kilikuwa cha kudharau kiti cha spika pia kilikuwa kitendo cha fujo ndani ya ukumbi wabunge, nachukua hatua ya kutoa onyo kali kwa mbunge Anatropia kwamba kitendo alichokifanyi ni ukiukwaji wa sheria za bunge na endapo atarudia sheria mahususi zitachukuliwa‘ –Dk. Tulia Ackson

Chanzo:Milladi Ayo

PhD holder akiacha mambo ya msingi kwa taifa na kujadili baraghashia. Only In Tanzania
 
hapo ndo naposhangaa unaposema wabunge wa ccm!!!!! alieanza utoto ni mbunge wa chadema, tena jembe langu la segerea, alaf wew unawasema wa ccm tu. ccm na ukawa wote wana michezo ya kitoto. tangu lini watu wazima wenye akili zao timamu wakavuana kofia hadharani, alaf na huyo aliovuliwa analishikilia bango kama ni jambo la maana sana???? ni ujinga mtupu

Sasa ukivuliwa kofia si unaichukua na kuivaa tena maisha yanaendelea?

Why this be a big deal to that extent?

Mimi nadhani tumuulize naye huyu NS ni lini yeye atajiloea majibu ya mwongozo unaohusu mashtaka yake dhidi ya kukanyaga na kuminya kanuni za bunge i.e kwa kuzisimamia na kuzitekeleza kwa upendeleo dhidi ya makundi mawili ya wabunge??

Ishu ya mwongozo wa kofia tu, huyooooo mbio ameitisha footage ya picha za CCTV Camera na kutoa hukumu juu.....lakini yamusuyo yeye na wenzake wa kijani aaah, hata mpaka mwakani!!
 
Bunge limeacha kujikita kwenye mambo ya msingi sasa limeamua kuwa bunge la vichekesho.! MAKINDA pamoja na mapungufu yake at least alikuwa na busara kiasi fulani, sio kama huyu TULIA; aliyehamishia bunge Lumumba.
 
Chadema ni bora mngejikita kuhoji ni kwa nini Mbowe aliuza chama chenu???

Naamini bila mbowe kuuza chama msingekengeuka kiasi hiki.

Leo mnapinga kila kitu na kujidai mnadai democrasia wakati ndani ya chadema hamna hata tone la democrasia.

Hebu jiulize wakati Mbowe anabadili gia angani alishilikisha wanachama wa ngapi??
 
Back
Top Bottom