Cctv Video: ukweli wa tukio la wizi wa gari Kenya

Wakenya tangu mwaka 2005 nilipoanza kufanya kazi nao kwa ukaribu huko Zanzibar ndipo niliwatambua hawana tofauti na Wanaijeria kwa utapeli. Mimi sikuamini hata kidogo hilo tukio mara nilipoliona kwenye mitandao ya nchini Kenya
 
Sasa sijui utasema nini tena kuhusu wakenya ukishajua ya kuwa hao jamaa si wakenya, walikuwa waganda, mganga kutoka UG anafanya yake Mombasa! Neeext!
 
Wakenya tangu mwaka 2005 nilipoanza kufanya kazi nao kwa ukaribu huko Zanzibar ndipo niliwatambua hawana tofauti na Wanaijeria kwa utapeli. Mimi sikuamini hata kidogo hilo tukio mara nilipoliona kwenye mitandao ya nchini Kenya

Ndio tatizo lenu kujenga matabaka kwenye kila tukio, dhambi ya ubaguzi ishakolea kwenu. Hao waliokamatwa kwenye hili tukio ni Waganda.
 
Uchawi wa kizungu CCTV unekuna na uchawi wa kiafrika NYOKA NA NGOMA ZA UCHI. Nani mshidi?
 
Back
Top Bottom