kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
Mmh, sijui watu hua wana kumbukumbu za wapi!Huyu zito naye alishakuwa zilipendwa, wakati ule serikali ikiwa inachekea mafisadi na wabadhirifu alikuwa kimyaaaa, sasa hivi serikali iko bize kuchukua hatua kwa niaba ya wananchi maskini ndo anaanza kupinga. Wengi siku hata kumsikia hatupendi
Nimepita mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hivi karibuni nimekuta wananchi wanamchukia Sana Magufuli, hawana hamu naye kabisa. Udikteta na Sukari ndio ishu kubwa Kuna haja ya washauri wake kumuweka sawa vinginevyo atajiongoza mwenyewe na wanaccm
Hao watu wasikupe shida mkuu! Wanaopenda waskike wamekuwa mabubu, ni Zitto pekee ndie mwenye hoja ktk awamu hii ndiomaana wanaropokwa tu.Mmh, sijui watu hua wana kumbukumbu za wapi!
Huyu zito naye alishakuwa zilipendwa, wakati ule serikali ikiwa inachekea mafisadi na wabadhirifu alikuwa kimyaaaa, sasa hivi serikali iko bize kuchukua hatua kwa niaba ya wananchi maskini ndo anaanza kupinga. Wengi siku hata kumsikia hatupendi
Nimepita mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hivi karibuni nimekuta wananchi wanamchukia Sana Magufuli, hawana hamu naye kabisa. Udikteta na Sukari ndio ishu kubwa Kuna haja ya washauri wake kumuweka sawa vinginevyo atajiongoza mwenyewe na wanaccm
Leo ndio wameanza kuliona hilo?walivyo kuwa wanamchekea hawakumjua?
JK anamvutia kasi, ila Jk mwenyewe nae atakua anajuta sana kumkabithi kiti Magu. Jk atamkumbuka Lowasa maisha yake yote.
Kila mmoja sasa ni lazima aseme ili waonekane wanampigania Rais.......wakikaa kimya wataonekana majipu.CCM bhana, hivi hili genge halina hata mshauri kweli? Wangepunguza kupayuka
una mahaba na UKAWA ukaisahau tamzania shame up on youNdugu una uhakika au ni hisia zako tu.