CCM = zimwi likujualo halikuli likaisha, litaendelea tu kula & kunyonya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM = zimwi likujualo halikuli likaisha, litaendelea tu kula & kunyonya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Obama08, Oct 27, 2010.

 1. O

  Obama08 Senior Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani CCM ni zimwi likujualo halikuli likaisha, litaendelea kutunyonya, kula, halishibi forever, for 49 yrs ndio ufukara unashamiri, but wenye CCM ni Mafisadi, matajiri wakubwa, bali wafanyakazi wote hali ngumu mno, angalia polisi wetu, wanajeshi wetu, madaktari, manesi, walimu, TRL, migodini, wananchi wa mijini na vijijini, wote hali mbayaaaaaa, lakini wapiga domo kama kinana ni mabepari wakubwa sana, amkeni tutumie kura kuwaangusha watatunyonya hadi kufa, kura = democrasia kuwakataa CCM,
  wake up, 31 Oct hiyooooooo
  Mungu awabariki Watanzania
  DR Slaa for Presidency period
   
 2. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakuhakikishia kuwa, mafisadi kama zawadi ngoda na wenzake wangekuwepo wakati wa kupigania uhuru, wangesema kuwa bora zimwi likujualo (wakoloni) kuliko serikali ya TANU
   
Loading...