CCM Ziara zimeisha: Wadanganyika wamewaelewa nini maana ya Maendeleo

theROOM

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
946
419
Ziara za CCM na mawaziri wa serikali ya JK ktk mikoa ya Kusini imekwisha. Lengo ilikuwa ni kuwapa darasa wananchi wafumbue macho ili wayaone maendeleo yaliofanywa .a serikali ya CCM. Yaani ilimaanisha wananchi kwa macho yao hawawezi ona mpaka macho ya Nape,Kinana na Mawaziri waje kutoa tuition.

Sasa nataka kujua wamefanikiwa? Bei ya Korosho vp? Lile soko la wapi sijui vp?

Au ndo ivo waTz ni watu wa kusahau,wamekula ubwabwa na wamesahau?

Au zomeazomea ilimaanisha mlitumia lugha ngumu kwenye akili nyembamba za waTz?

Tujuzeni mlioko huko...
 
Wanakaanga tu kodi za walala hoi hawana la maana hawa walaaniwa. Siku zao zinahesabika!
 
Kwa kweli kama Maendeleo yenyewe mpaka wananchi waonyeshwe basi hiki chama tawala kazi ipo!
 
Back
Top Bottom