CCM Zanzibar wanachochea vurugu, IGP chukua hatua

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Ni kuchamba mwanzo mwisho, vitisho na kejeli kwa kampeni za CCM dhidi ya Maalimu Seif. Kuna mwanaCCM kapanda jukwaani kasema Maalim Seif sio Raia wa Zanzibar, kaeleza stori za Mohamed Shamte na kejeli juu.

Siasa za Zanzibar ni za kuchochea ubaguzi na fitina. IGP Sirro una kazi ngumu kwenye uchaguzi huu.

From Rububu
 
Back
Top Bottom