Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

Najua na nilishasema hapa mapema tu kuwa Profesa Makame Mbarawa atakuwa Mrithi wa Rais anayemaliza muda wake huko Kisiwani Zanzibar Dkt. Shein na ninamkubali na nitawasifu mno CCM wakimpitisha kwa Nguvu moja. Ila sitaki na wala sipendelei Mtoto yoyote wa waliowahi kuwa Viongozi wa Zanzibar kuanzia Karume, Jumbe na Mwinyi wawe sehemu ya Uongozi wa Juu huko. Kama Mimi ningekuwa Profesa Mbarawa nikiapishwa tu kuwa Rais basi Makamu wangu wa Pili wa Rais ningemteua Masauni. Zanzibar ya sasa inahitaji Sura mpya kabisa na zisizo na Mizizi wala Makundi ya Kifamilia.
Kwa pointi hii nakuunga mkono. LAKINI CCM MWAKA HUU KURUDI MADARAKANI HAPA VISIWANI ZANZIBAR NI NDOTO.
 
Ndiyo Mchujo ni tayari na Wote wawili hawa wapo katika Kikosi cha Top Five lakini kama kuna Kosa ambalo CCM watafanya ni Kumwomba Rais Mtarajiwa wa Zanzibar Profesa Makame Mbarawa amteue Dkt. Hussein Mwinyi kuwa Makamu wa Pili wa Rais huko ili tu Kumpoza Baba yake ambaye amekuwa ni Mpiga Debe mkubwa kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Mbarawa hawezi kupata kura za urais kumzidi Maalum Seif.
Turufu ya CCM ni Hussein Mwinyi.
 
Zanzibar haina mzawa halisi, wengi Pale ni wakongo wanaojiita wakati wanayamwezi.
Kile ni Kisiwa hakuna Mfugaji angeweza kukimbilia Kwenye Kisiwa badala ya kuishi bara .

Maalim Seif akiwa Rais tutakua tumepiga hatua kubwa sana na kujenga utu.

Ni kweli kabisa CCM ya Zanzibar na bara pia imejenga mfumo wa watu wenye Roho mbaya sana sana na ukatili wa kupindukia . Hali inayopelekea watu kuishi kwa kuwaziana visasi na kuombeana dua mbaya.

Waislama wa Kweli wafikirie pia kuhusu Kesho ahera kuliko kuwaza Urais tuu na kupata madaraka utafikiri wataishi milele.

Kwa nini nchi yenye watu wa imani moja kama Zanzibar wanaishi kwa dhulma kiasi hicho?
Mnasababisha watu washindwe kuupenda uislama ,dini inayesemwa kuwa ni dini ya Mwenyezi Mungu.

Kweli kabisa ni aibu kubwa wanasiasa kuwajengea watu Roho za dhulma kwa sababu ya vyama vya siasa na waumini wa dini moja wanakubali kuishi hivyo kwa sababu tu ya madaraka na kupata fedha.

Mnaabisha sana kwa kweli. Tumeona Muislama kabisa anaswali swala tano lakini anakubali kupindua matokeo ya kura na ijumaa anaswali na anajiona ni muumini wa dini inayojiita ya haki.

Shame on you!! Simamisheni haki duniani kama mlivyosoma kwenye dini vinginevyo mjiite wamataifa tu wasiomjua Mwenyezi Mungu na dini ya haki.

Kadhalika Wakristo viongozi Wote na wasimamizi wa uchaguzi ujao wamuige Mh. Magufuli amabaye amejinyenyekeza kwa Mungu na kujua kuwa Taifa linahitaji Rehema na kumtii Mungu hasa kipindi cha Korona. Tuendelee kumtii Mungu wakati wote na kutenda haki.

CCM wamsimamishe yeyote lakini haki itendeke na Zanzibar iwe Mbele ya maslahi ya watu na vyama.

Watu wachache waliopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wasijione kuwa wao ndio kila kitu na hakuna aliye juu yao duniani na hata mbinguni.

Hata Shetani ni mbaya lakini anamuogopa Mwenyezi Mungu. Awamu hii Tume ya uchaguzi Zanzibar isilipake Matope taifa letu. Watu wachache wasiwawekee mazingira magumu ya kuishi wazanzibari wasio na hatia kwa sababu tu wanataka kukalia kiti cha Urais.

Wanataka nini Ikulu kwa nguvu zote hizo. Ni kweli ni kuwatumikia watanzania tu au kuna kingine?
Nitashangaa kuona Mtu amekua Waziri miaka 25 lakini bado anavuruga uchaguzi au anafanya njama za ushindi.

Uchaguzi wa haki uheshimiwe na wote. Lakini dhulma isikubalike kuwa ndiyo maisha ya waafrika muda wote.
Miaka 25 za uchaguzi Zanzibar inatosha kwa CCM kujiandaa kushirikiana na vyama vingine na kuwaachia nafasi ya kuongoza na wao wakashika umakamu.

Ni jambo baya sana kwa wachache kujiona ni haki yao kuwa na maisha maziri na ya anasa kupitia dhulma.

Mungu Ibariki Tanzania Bara na Visiwani pia.

Kwani pia Maalim Seif Sharrif ukimfuatilia Kiundani kabisa Ndugu hasa Chimbuko lake unadhani ni Mtanzania halisi kama tulivyo Mimi na Wewe?
 
Acha ramli chonganishi!

Unazijua vizuri siasa za Zanzibar wewe!? Siasa za Upemba na Uunguja?
Atoke Mpemba aje Mpemba? Hili halitoweza tokea asilani abadani.

Prof Mbarawa ni kiongozi mzuri sana kiutendaji ila CCM itampitishaje mtu ambaye hajawahi chaguliwa na watu hata kwa nafasi ya ubalozi wa Nyumba kumi ama usheha??
Hakuna mpemba anaeitwa makame mbarawa mnyaaa
 
Mzukulu,
Wewe unacomment kama vile hakuna uchaguzi wa vyama vingi huko Zanzibar?

Unawezaje kusema Prof. Makame Mbarawa is the next Isles President, wakati unajua wazi kuwa kutakuwa na mchuano mkali sana baina ya CCM vs ACT Wazalendo Presidential candidate, Maalum Seif Sharif Hamad?

Au wewe nawe ni ndiyo Jecha Salim Jecha mpya wa Zanzibar?
 
Najua na nilishasema hapa mapema tu kuwa Profesa Makame Mbarawa atakuwa Mrithi wa Rais anayemaliza muda wake huko Kisiwani Zanzibar Dkt. Shein na ninamkubali na nitawasifu mno CCM wakimpitisha kwa Nguvu moja. Ila sitaki na wala sipendelei Mtoto yoyote wa waliowahi kuwa Viongozi wa Zanzibar kuanzia Karume, Jumbe na Mwinyi wawe sehemu ya Uongozi wa Juu huko. Kama Mimi ningekuwa Profesa Mbarawa nikiapishwa tu kuwa Rais basi Makamu wangu wa Pili wa Rais ningemteua Masauni. Zanzibar ya sasa inahitaji Sura mpya kabisa na zisizo na Mizizi wala Makundi ya Kifamilia.
.
Sawa mkuu hayo Ni mawazo yako na yenye mashiko ndani yake hebu ngoja tusubiri na mawazo ya huyo mrithi ajae.
Yawezekana tukaumiza vichwa weee halafu kumbe Rais wa Zanzibar anakuja kuwa M. SELF.
 
Zanzibar Maisha yake haijajichagulia raisi, kila wakati ni viongozi wa Bara ndio wanaowachagulia.

Wapige au wasipige kura, mshindi lazima atakuwa chaguo la Baraa
 
Zanzibar haina mzawa halisi, wengi Pale ni wakongo wanaojiita wakati wanayamwezi. Kile ni Kisiwa hakuna Mfugaji angeweza kukimbilia Kwenye Kisiwa badala ya kuishi bara.

Maalim Seif akiwa Rais tutakua tumepiga hatua kubwa sana na kujenga utu.

Ni kweli kabisa CCM ya Zanzibar na bara pia imejenga mfumo wa watu wenye Roho mbaya sana sana na ukatili wa kupindukia . Hali inayopelekea watu kuishi kwa kuwaziana visasi na kuombeana dua mbaya.

Waislama wa Kweli wafikirie pia kuhusu Kesho ahera kuliko kuwaza Urais tuu na kupata madaraka utafikiri wataishi milele.

Kwa nini nchi yenye watu wa imani moja kama Zanzibar wanaishi kwa dhulma kiasi hicho?
Mnasababisha watu washindwe kuupenda uislama ,dini inayesemwa kuwa ni dini ya Mwenyezi Mungu.

Kweli kabisa ni aibu kubwa wanasiasa kuwajengea watu Roho za dhulma kwa sababu ya vyama vya siasa na waumini wa dini moja wanakubali kuishi hivyo kwa sababu tu ya madaraka na kupata fedha.

Mnaabisha sana kwa kweli. Tumeona Muislama kabisa anaswali swala tano lakini anakubali kupindua matokeo ya kura na ijumaa anaswali na anajiona ni muumini wa dini inayojiita ya haki.
Shame on you!!

Simamisheni haki duniani kama mlivyosoma kwenye dini vinginevyo mjiite wamataifa tu wasiomjua Mwenyezi Mungu na dini ya haki.

Kadhalika Wakristo viongozi Wote na wasimamizi wa uchaguzi ujao wamuige Mh. Magufuli amabaye amejinyenyekeza kwa Mungu na kujua kuwa Taifa linahitaji Rehema na kumtii Mungu hasa kipindi cha Korona. Tuendelee kumtii Mungu wakati wote na kutenda haki.

CCM wamsimamishe yeyote lakini haki itendeke na Zanzibar iwe Mbele ya maslahi ya watu na vyama.

Watu wachache waliopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wasijione kuwa wao ndio kila kitu na hakuna aliye juu yao duniani na hata mbinguni.

Hata Shetani ni mbaya lakini anamuogopa Mwenyezi Mungu. Awamu hii Tume ya uchaguzi Zanzibar isilipake Matope taifa letu. Watu wachache wasiwawekee mazingira magumu ya kuishi wazanzibari wasio na hatia kwa sababu tu wanataka kukalia kiti cha Urais.

Wanataka nini Ikulu kwa nguvu zote hizo. Ni kweli ni kuwatumikia watanzania tu au kuna kingine?
Nitashangaa kuona Mtu amekua Waziri miaka 25 lakini bado anavuruga uchaguzi au anafanya njama za ushindi.

Uchaguzi wa haki uheshimiwe na wote. Lakini dhulma isikubalike kuwa ndiyo maisha ya waafrika muda wote.
Miaka 25 za uchaguzi Zanzibar inatosha kwa CCM kujiandaa kushirikiana na vyama vingine na kuwaachia nafasi ya kuongoza na wao wakashika umakamu.

Ni jambo baya sana kwa wachache kujiona ni haki yao kuwa na maisha maziri na ya anasa kupitia dhulma.

Mungu Ibariki Tanzania Bara na Visiwani pia.
Awamu hii hata bara ni Kama huku Zanzibar tu
 
Ushauri wangu Kwenu ni kwamba nimefurahi kuwa Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais ila naomba Dkt. Mwinyi asiwe Makamu wa Pili wa Rais.
Kwani wewe ni mzanzibari?
Mambo ya ccm zanzibar yanakuhusu nini?
 
Acha ramli chonganishi..!!

Unazijua vizuri siasa za Zanzibar wewe!!??Siasa za Upemba na Uunguja?
Atoke Mpemba aje Mpemba??
Hili halitoweza tokea asilani abadani.

Prof Mbarawa ni kiongozi mzuri sana kiutendaji ila CCM itampitishaje mtu ambaye hajawahi chaguliwa na watu hata kwa nafasi ya ubalozi wa Nyumba kumi ama usheha??
Mkuu pengine hilo litakushangaza lakini kwa bahati mbaya ndio litakalo tokea!!! Nyakati zimebadilika na sasa hivi hakuna tena Wazanzibari hasa waliopo CCM wenye ujasiri wa kupigania na kulinda maslahi yao ya kisiasa. Wanapelekwa na upepo tu na wamekasimu madaraka yao jumla kwa Makao Makuu ya Chama pale Dodoma

Kwa taarifa yako, kamati maalum ya NEC ya Zanzibar haina mamalaka ya kumchuja mgombea yoyote wa uraisi katika wale waliotia nia, kuchukua, kujaza na kisha kurejesha fomu za kuwania urais Zanzibar! Ndio maana hata hao watano inaosemekana wamepitishwa hwawezi kuwekwa wazi

Inachofanya kamati hiyo maalumu ni ku "rate" na ku "rank" wagombea wote na kisha wanapeleka mapendekezo yao kwenye CC ya CCM ambayo ndio inamchagua mgombea, na katika hili hata kama mgombea fulani amepewa alama za chini kuliko wote na hiyo kamati maalum ya NEC Zanzibar, CC ina discretion ya kumchagua kua mbeba bendera kwenye uchaguzi mkuu na ndio uamuzi wa mwisho.

Siku hizi siasa za Zanzibar sio moto tena! Ni siasa zilizopoa, siasa baridiiiiii
 
Bila shaka atashinda Maalim, swali langu: asipotangazwa atafanya nini? Napata mashaka makubwa.. ya Jecha kujirudia
Mkuu hata Mimi nimejiuliza swali hilo Mara nyingi lakini nimepata majibu tofauti na 2015 kurudi nyuma.

Wakati ule "uporaji" wa ushindi wa Seif ulikuwa unafanywa na wanaoijua siasa ndio maana walimuweza kwa ghiliba za kisiasa kasoro tuu 2000 Mkapa akajifanya anapora kibabe na yaliyotokea ingekuwa dunia ya Leo angenyea debe.

Sasa huyu wa sasa haijui siasa hivyo kama atapora ushindi basi ni kwa njia za Mkapa hivyo Zenji kitanuka na ataishia kunyea ndoo tuu.

Kama Kenyatta kauli tuu zilimkosa kosa tena hakuwa Rais alipotoa kauli hizo, itakuwa huyu mbabe wetu uchwara? Huyu anayeingia mitego mingi kichwakichwa?
 
Hivi kwanini siri za ccm zinavuja kibwege sana ? Halafu hilo unalolisena halitoweza kutimia kwa vile ccm itashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi huu
Mkuu haya maneno ungeyasema kama unapiga kula peke yake, Unatangaza kushindwa kwa kula zinazopigwa na watu wengi?
 
Back
Top Bottom