Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 722
Tokea amri ya kusimamisha shughuli za kisiasa kilicho tokea ni tofauti sana na mtarajio ya wafutaji wa siasa.Kwa taarifa nilizo nazohata baadhi ya viongozi wa ccm hawajaridhishwa kabisa na hatua hiyo nilimkuta mmoja amerudi kijijini na kuanza kujishughulisha na kilimo cha nyanya kijijini.alisema alikuwa anaamka asubuhi na mapema ana enda ofisini na kurudi bila shughuli yoyote
Baada ya mwaka akaona arudi tu kijijini.Hivisasa ccm haiungumzwi kabisa.Pia kuna makovu ya vyeti feki kiasi Iringa mtu alikufa pale kwa wauza magazeti alipo liona jina lake.Mama mmoja nesi aliye kuwa akivaa kilemba cha Magu alisikika akisema ana juta kusaidia Magu apita kumbe ana kuja kuanga mizwa mwenyewe kwa sakata la vyeti feki huku akifikiri maisha yata kuwa bora na Magu