CCM yazidi kuvuna Arusha: Shonza, Mtela, Mwigulu waongoza kwa kuvuna

Imma Saro

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
394
197
Chama cha mapinduzi chazidi kuvuna aibu jijini arusha ni baada ya mikutano yao kukosa watu na mvuto japo jana jioni Mbunge wa CCM alizomewa, leo hii wanafanya mkutano karibu na ngome ya CHADEMA huku zaidi ya magari matatu ya polisi Wakiwalinda Mtela, Shonza Mwigulu msiondoke subirini hadi Jpili mwondoke na mavuno mengi ya aibu"
 
Wengine hawasomagi cöntent,angalia bungeni na m23 na MAFILILI wasikupendekeze malipo via Heading.hiyo ngome ambayo Kibuyu Mwigulu yupo ni Ipi? MTELA namfananisha na mwalimu wa UPE kwa akili yake
 
Mkuu hiyo title watakuja kwa pupa akina ZeMarcopolo,chriss,maswaswa,mafilili, CCM 4real na mingine kibao wakiifungua wataishia kuporomosha mitusi....dah umewatega lazima waingie nyavuni!
 
uploadfromtaptalk1370849333825.jpg Mwongo mmetuma tanroad wang'oe matawi ya chadema barabaran eti yako kwenye hifadhi ya barabara, ushahidi uko imma saro. Yaan mbunge wa arumeru magaribi bahati nzuri akatokea walipofika kwenye tawi la filips wakafurumishwa.
 
Back
Top Bottom