Uchaguzi 2020 CCM yazidi kujihakikishia ushindi Uchaguzi Mkuu Kanda ya Ziwa

NCCR watapata kura kiasi gani? Hizo % ndio maagizo ambayo tume isiyo huru ya uchaguzi wamepewa ili wamtangaze kiongozi wa kikomunisti.
 
Nccr watapata kura kiasi gani? Hizo % ndio maagizo ambayo tume isiyo huru ya uchaguzi wamepewa ili wamtangaze kiongozi wa kikomunisti.
We mbona unaulizia za Nccr Mageuzi? Hujui kuwa wanatambua uchapakazi wa JPM? Pia sio pinga pinga. Tume hutoa matokeo baada ya kura kupigwa. Hizo 98% ni tathimini za wataalamu wa siasa.
 
We mbona unaulizia za Nccr Mageuzi? Hujui kuwa wanatambua uchapakazi wa JPM? Pia sio pinga pinga.
Tume huto matokeo baada ya kura kupigwa. Hizo 98% ni tathimini za wataalamu wa siasa.

Ww umesema cdm na Act, lakini nimeshangaa hutaji nafasi ya chama chako ulichohamia. Hakuna uchaguzi nimekuambia, bali kuna ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hiyo 98% ni utafiti wa walioko kwenye mlo chini ya awamu hii.
 
Sio kweli utafiti umezingatia namna JPM alivyotekeleza ahadi zake na jinsi wananchi wanavyomkubali.
 
Tumshukuru mungu kwa kutuleta jpm
Ile fedha ya maafa rambirambi toka kwa mabeberu mmeirudisha? Kama hamtaleta hiyo fedha msitegemee kura za wa Kagera.
Kuleta meli ni wajibu wenu watawala, Bkb sio wajinga ni waelewa sana!

Polisi wamwachie Binti Husna Chato ili apambane na CCM. Hiyo ni salamu ya CHADEMA wana Lumumba!!
 
Sio kweli utafiti umezingatia namna JPM alivyotekeleza ahadi zake na jinsi wananchi wanavyomkubali.

Kwenye nchi ambayo tayari wananchi wanatawaliwa kwa kujengewa hofu na vyombo vya habari vimedhibitiwa, unawezaje kupima kwa usahihi? Unaweza ukanitajia waliofanya huo utafiti, ili nione ni chombo au taasisi gani?
 
Hata ukitajiwa huwezi kuwaamini. Maana wewe kila taasisi hauiamini. Kama vyombo vya habari vimedhibitiwa mbona vinaandika habari kila siku? Au ulitaka wawe wanapotosha kama Tanzania daima inavyofanya?
 
Sio kwamba sintawaamini, hata ww unajua fika sio rahisi wao kuaminika. Kuna taasisi ya Twaweza mpaka leo mkurugenzi wake kaporwa passport, kwa kufanya utafiti wa kweli usioifurahisha serikali. Weka sababu kumi zilizofanya Tanzania daima kufunguwa, kama sio siasa chafu na uonevu.
 
Twaweza walieneza uchochezi wa wazi kabisa kama lilivyo gazeti la Chadema. Usitetee uovu, kama taasisi inakiuka maadili lazima ishughulikiwe.
 
Twaweza walieneza uchochezi wa wazi kabisa kama lilivyo gazeti la Chadema. Usitetee uovu, kama taasisi inakiuka maadili lazima ishughulikiwe.

Hebu weka hapa huo uchochezi wa Twaweza isije ikawa unaongea kama kasuku. Nimekuambia weka hapa hayo maonyo 10 yaliyosababisha Tanzania daima ifungiwe, naona unaruka ruka tu kwani we ni bendera fuata upepo, na huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
 
Nasikia hiyo miaka saba ya kutokuwa na meli ya uhakika kwa navigation- BK/MZA; Chadema ndo walikuwa wanaongoza nchi. Ni rahisi sana kuwa win Wadanganyika, yaani tengeneza tatizo halafu njoo ulitatue.
 
Back
Top Bottom