CCM yaweweseka: Mwenyekiti UVCCM asimamishwa kazi kwa kufanana na Mlinzi wa Mbowe...

Yale yale ya Kombe, mnanikumbusha mbaaali na machungu mengi, haya mambo ya kufananisha watu ni hatari, Luteni Generali Imran Husein Kombe aliuawa na vijana wa usalama wa taifa eti wakimfananisha na jambazi aitwaye White, je ni kweli kuna polisi asiyeifahamu sura ya bosi wake? Napata tabu na roho inauma

wale waongo, walipanga kumuua ndio maana wote waliotekeleza amri hiyo wapo uraiani wanakula bata tu
 
Back
Top Bottom