CCM yawapongeza wananchi wa Kinondoni, Siha kwa kuwapa ushindi wa kishindo..

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,482
54,837
CCM yapongeza wananchi wa Kinondoni, Siha kwa kuwapa ushindi wa kishindo..
b1352d58518c50d7fcb542fa9809d67f.jpg
a326a9c89122a8878981bd4506e2fb1b.jpg
 
Chakubanga Pori pori na akili zake mpya baada ya kujitoa ufahamu.



Pole pole uonage aibu. Ujue yuko Mungu asiyetishwa na bunduki wala alama az jembe na nyundo. Hivi kweli mmeshinda ninyi? Mbona nakuwa kama mashetani?

Mnajua mmeshindwa, mlijuua hamshindi, na kilelelezo ni huo unyama wenu dhidi ya binadamu. Mauaji ya raia, kuwafungia nje mawakala wa chadema ili muibe, kukimbia na masanduku ya kura na matumizi ya polisi kwa kufanikisha ufirauni wenu dhidi ya haki za Wtanzania kujipatia vingozi wawatako. Halafu leo mnakuja hapa kusema eti mmeshinda kwa kishindi. Pumbvnau saaaaaaaaaana!.
 
Kama wameshinda kihalal Nawapongeza... ila kama si halal alaaniwe huyu...
 
- Hivi ni Lazima CCM ishinde hata kwa kumwaga damu ya wanafunzi asiye na hatia?
- Hivi Mkuu anataka ku-proove nini kwa kuhakikisha waliohamia CCM kwa kumuunga mkono wanashinga hata kwa kupitia damu za mtoto asiye na hatia?
- Hivi kweli kama anapendwa kiasi hicho kama tunavyoambia kila siku, kwanini asinge ruhusu uchanguzi wa huru. ili kiwe kipimo kwake kweli anapendwa?
- Je kwa utaratibu huu, kuna mbunge hata mmoja wa upinzani atarudi bungeni mwaka 2020?
- Naamini kwa uchanguzi huu wa kijambazi hakuna mbunge wa upinzani atakaye rudi bungeni mwaka wa 2020, Je kunahaja ya kupoteza mabilioni kufaya uchanguzi mkuu wa mwaka 2020?
 
Safi sana, kwa hali hii mwaka 2020" chama tawala kitachukua majimbo yote, upinzani nchini utabakia mioyoni tu mwa baadhi ya wananchi.
 
Shenzytpe kabisa, vilaza Wakubwa ninyi.

Mmemuua yetu Binti Akwilina A. B, kwa tamaa za vyeo uchwara mbuzi halafu wanajipongeza kwa kumwaga damu isiyo hata na hatia!!

Ccm, management ya NEC and DED wa Kinondoni must go.

Tena, askari wetu 6 wasitolewe kafara kwa makosa na uloho wa Mtulia, CCM, NEC na DED wa Kinondoni.

R.I. P Binti yetu Akwilina A. B.
Umekatishwa ndoto zako zote na maisha yako yamezimwa kama mshumaa uzimwavyo.

Pole familia , ndugu, jamaa , marafiki na watanzania wenzentu wenye utu, hekima na uzalendo.

CCM must go.
 
WAIPONGEZE TUME YA UCHAGUZI NA POLISI KWA KUWASAIDIA KUFANYA UPORAJI WA KISIASA !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom