CCM yawa chama cha upinzani rasmi!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
cc ya ccm yaitaka serikali kupunguza bei ya mafuta!ina maana serikali iliyopo madarakani inafuata ilani sera za chama gani?bajeti ya mkulo inafuata sera ilani ya chama gani?naona huku ni mwisho wa kufa chama cha magamba
 
Kwa hiyo JK ameilalamikia serikali kuwa bei ya mafuta ni kubwa?? Hii ni kali ya mwaka
Mtu huyo huyo ndiye mwenyekiti wa baraza la mawaziri ambalo lilioona inafaa kuongeza kodi kwenye mafuta ya taa na mtu huyo huyo akiwa mwenyekiti wa chama anaona haifai kuongeza kodi kwenye mafuta ya taa. Kwa harakaharaka unaweza kusema huu ni unafiki wa kupindukia.....lakini mimi naona ni dharau ama matusi kwa watanzania hasa wa kipato cha chini.
 
Nathani kuna mushikeli kubwa ndani ya chama!hakuna uhusiana mzuri baina ya organs zake,na hii ni hatari sana kwa uhai wa chama!!
 
Baada ya uchaguzi kumalizika, chama tawala kupitia CC huwa kinaielekeza serikali, hii imekuwa ikifanyika kila siku hata kabla ile NGO ya wachaga haijageuzwa kuwa kampuni ya kukusanya ruzuku. Kazi ya chama tawala ni pamoja na kuilekeza serikali kutekeleza yale yaliyo kwenye ilani kwa kuwa ilani ni ya chama na serikali ni watekelezaji tu wa ilani.
 
Kwa hiyo JK ameilalamikia serikali kuwa bei ya mafuta ni kubwa?? Hii ni kali ya mwaka

Kwa taarifa yako, hii imekuwa ikifanyika kila siku kabla ya hata hiyo NGO ya wachaga haijabadilika na kuwa kampuni ya kukusanya ruzuku. Imekuwa hivyo tangu enzzi za Nyerere kamati kuu kupinga maamuzi ya serikali na kuilekeza serikali kuachana na maamuzi hayo, hiyo ndio kazi ya kamati kuuu kuishauri na kusimamia utekelezaji wa ilani.
 
Baada ya uchaguzi kumalizika, chama tawala kupitia CC huwa kinaielekeza serikali, hii imekuwa ikifanyika kila siku hata kabla ile NGO ya wachaga haijageuzwa kuwa kampuni ya kukusanya ruzuku. Kazi ya chama tawala ni pamoja na kuilekeza serikali kutekeleza yale yaliyo kwenye ilani kwa kuwa ilani ni ya chama na serikali ni watekelezaji tu wa ilani.
Punguza jazba jibu hoja. Unavyosema kazi ya chama ni kuilekeza serikali kutekeleza yaliyomo kwenye ilani, unamaanisha bajeti ya Mkulo haikufata sera ya chama that why Nape anamkumbusha????
 
Sasa fedha ambazo zingepatikana kutokana na ushuru wa bei ya mafuta ya taa zitatoka wapi?? Ina maana bajeti yote itafumuliwa upya?? Kweli kuna haja ya bajeti yote itengenezwe upya, hasa ukitilia maanani kuwa bajet ya Nishati na Madini itawasilishwa upya. Bajeti ya mwaka huu imevuruugika kabisa
 
Punguza jazba jibu hoja. Unavyosema kazi ya chama ni kuilekeza serikali kutekeleza yaliyomo kwenye ilani, unamaanisha bajeti ya Mkulo haikufata sera ya chama that why Nape anamkumbusha????

Sio lazima. lakini inawezekana serikali na CC zikawa na mawazo tofauti juu ya kuondoa uchakachuaji, kumbuka serikali inatawala kwa niaba ya halmashauri kuu ya chama na si halmashauri kuu inatawala.
 
Baada ya uchaguzi kumalizika, chama tawala kupitia CC huwa kinaielekeza serikali, hii imekuwa ikifanyika kila siku hata kabla ile NGO ya wachaga haijageuzwa kuwa kampuni ya kukusanya ruzuku. Kazi ya chama tawala ni pamoja na kuilekeza serikali kutekeleza yale yaliyo kwenye ilani kwa kuwa ilani ni ya chama na serikali ni watekelezaji tu wa ilani.

Maskini, pole!!!!!
 
Sio lazima. lakini inawezekana serikali na CC zikawa na mawazo tofauti juu ya kuondoa uchakachuaji, kumbuka serikali inatawala kwa niaba ya halmashauri kuu ya chama na si halmashauri kuu inatawala.

Mkuu hebu tupe mwanga kidogo kwenye bold hapo!!!!!!! Then naweza kuchangia vema.
 
Mkuu hebu tupe mwanga kidogo kwenye bold hapo!!!!!!! Then naweza kuchangia vema.
<br />
<br />
bway bway nduka we ni kama punje ya mtama ndani ya sisiem.jitahdi kutetea japo upate mshko.bora katiba ibadilshwe kwa sababu hapa kunamwingliano wa majukumu ndan ya chama kimoja.mwenyekti wa serikali ya mtaa anaweza mpiga mkwara katibu wa kata.magamba bana bway bway teh teh
 
Kama haitoshi waziri ktk serikali ya j.k anailaumu serikali kuhusiana suala la umeme,sasa hapo cc 2nachanganyikiwa hivi huyo serikali anayelalamikiwa na mh.waziri ni nani?
 
Kwa taarifa yako, hii imekuwa ikifanyika kila siku <b>kabla ya hata hiyo NGO ya wachaga haijabadilika na kuwa kampuni ya kukusanya ruzuku</b>. Imekuwa hivyo tangu enzzi za Nyerere kamati kuu kupinga maamuzi ya serikali na kuilekeza serikali kuachana na maamuzi hayo, hiyo ndio kazi ya kamati kuuu kuishauri na kusimamia utekelezaji wa ilani.

Kwa hiyo "JK wa CCM" alimwagiza "JK wa Ikulu" apunguze bei ya mafuta?
 
Kama haitoshi waziri ktk serikali ya j.k anailaumu serikali kuhusiana suala la umeme,sasa hapo cc 2nachanganyikiwa hivi huyo serikali anayelalamikiwa na mh.waziri ni nani?

Kujiosha tu hana lolote wameshajinyea wanatafuta wa kuwaosha!
 
Back
Top Bottom