CCM yaupoteza upinzani Tunduma

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ameuangamiza kabisa upinzani Tunduma katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mwaka.
Nape Jembe la Chama alibebwa juu juu kama shujaa na pia Mama Migiro alishangiliwa sana.

Katika hali isiyo ya kawaida CCM Imedhihirisha kukomaa kisiasa baada ya kuongea mambo ya msingi yenye kueleweka.
 
Attachments

  • jf.jpg
    jf.jpg
    57 KB · Views: 1,728
  • jf2.jpg
    jf2.jpg
    52.1 KB · Views: 1,773
  • jf4.jpg
    jf4.jpg
    51.5 KB · Views: 468
  • jf1.jpg
    jf1.jpg
    64.7 KB · Views: 467
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ameuangamiza kabisa upinzani Tunduma katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mwaka.
Nape Jembe la Chama alibebwa juu juu kama shujaa na pia Mama Migiro alishangiliwa sana.

Katika hali isiyo ya kawaida CCM Imedhihirisha kukomaa kisiasa baada ya kuongea mambo ya msingi yenye kueleweka.

Yaani nakuambia watu wamesombwa na malori mpaka basi.
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ameuangamiza kabisa upinzani Tunduma katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mwaka.
Nape Jembe la Chama alibebwa juu juu kama shujaa na pia Mama Migiro alishangiliwa sana.

Katika hali isiyo ya kawaida CCM Imedhihirisha kukomaa kisiasa baada ya kuongea mambo ya msingi yenye kueleweka.

Sasa mpinzani ni nan Tunduma CCM au CDM
 
Yaani kweli Nape hana aibu! Yaani wanajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Sasa kuleta watu na malori mlikofanya mnataka kumdanganya nani kama is kujidanganya wenyewe!
 
Je wale vijana mlio waandaa kurudisha kadi za CDM mlizo chapisha wamejitokeza kurudisha?
 
wenzenu wanaimarisha chama ninyi mnavuana vyeo, na mmekaririshwa kuwa ccm usomba watu hadi kwenye shina, mnanikera sana. matokeao yakitoka utasikia ccm wamechakachua. Fanyani kazi acheni siasa maji taka nchi hii bila upinzani makini maisha yatakuwa magumu sana, maana ni sioni naona/uwekano chadema kuchukua nchi. inaniuma sana
 
Acheni ujinga, hawa watu wameletwa na malori kutoka vijiji kama kumi hivi. CCM wanajidanganya.
 
Ccm wanafahamika kwamalori tena huenda vijijin kuzoa wale wabush wakuwapakia kwe malori tuu,halafu wakitmika nikila mtu arudi anavyojua yeye malori yanakuwa hayapo tena .
"KONDOM IKITUMIKA HAINA KAZI TENA" hyo ni kauli mbiu ya ccm kwemikutano.
 
Upinzani upo na utaendlea kutesa kama kawaida, moto wake mtausoma subirin mda ufike, mtaisoma namba
 
Back
Top Bottom