CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

acha kutudhalilisha wewe , wengine tumekuja kikazi hapa USA tena so kazi unazosema wewe hizo, nipe email yako na contacts zako niwaambie waajiri wangu kuwa uje kama relative wewe na my wife na watoto kwenye annual visit mwisho wa mwaka, nitakutumia na viza, ingawa sibishi kuna baadhi ya wabongo dah.................................naogopa kusema hizo kazi zao mmh
Kazi gani unazoogopa kututajia wanazofanya kakaa? Au taja tu maana si wabongo peke yao wenye kufanya hizo kazi..
 
Hiyo ni ID yangu, ndivyo ninvyotaka isomeke.Najua unataka isomeke FREEDOMFIGHTER, lakini wewe siyo mimi. Haya turudi kwenye swali , kwanini unatumia mkorogo?

Shida yako unadhani wote wana tabia kama yako. Kama ambavyo umetaka jina lako lisomeke hivyo, usilazimishe jambo usilokuwa na uhakika nalo....... We umeacha lini mchezo mchafu????
 
Hata kama anafungua matawi chooni nyie inawauma nini? au ndio kuweweseka kwenyewe uko.

Poleni sana.
 
ndo umeongea nini wewe? nilikuwa nakuheshimu ila hapa umeniangusha sana! umeongea pumba kwelikweli, sisi tunachekwa hawa niggaz na baadhi ya wazungu wanatwambia we are doomed kuweka ofisi za chama tawala(kinawakilisha Tanzania nzima) kwenye car wash
Tafuta picha na uzipost hapa..
 
Shida yako unadhani wote wana tabia kama yako. Kama ambavyo umetaka jina lako lisomeke hivyo, usilazimishe jambo usilokuwa na uhakika nalo....... We umeacha lini mchezo mchafu????

Silazimishi jambo lakini ndivyo unavyoonekana, mtoto unawaka kutwa kwenye kioo, halafu watu wa dizaini yenu mnajifanyaga wateeemi kumbe ni ukali wa sindano nyuma uzi unaingia.
 
Masikini weweeee! Hata wewe kichaa unasema??? Basi dunia imesha ukisikilizwa wewe

wewe kwenu Lindi unarudi lini? pumbaf ukienda watakushangaa unajichubua, sasa kwani huko Marekani ulipoenda umepata vipodozi gani? naona mtoto unazidi kung'aa tu mmh mi yangu macho tu, kumbe ndo maana Cameron anataka turuhusu ush,,,,,, kazi hii mweeh Jk anatetemeka!
 
My take. Hivi Nape anaweza kufungua matawi sehemu ambako hakuna Watanzania? Kufungua matawi car wash, kwenye nyumba za wazee inaonesha wazi kwamba ninyi Watanzania mliosomeshwa kwa fedha zetu mmeikimbia nchi na kwenda kufanya kazi car wash! Hakuna kingine. Si ninyi mliotangaza kuandamana alipokuja JK, halafu siku hiyo mkajikomba kwake? Kumbe sasa nimejua mnafanya kazi car wash. Najua sasa hamna lolote. Rudini muwasaidie Watanzania waliowasomesheni.
Binafsi simfagilii nape ila mliniboa sana safari ya JK.
 
mkuu hurudi vipi? jibu swali langu mkuu! wewe siuliikana ID yako baadaya uchaguzi kule igunga! mbona leo unaitumia?
 
ila nawewe kama mtoto vile, hata pumba unajibu. uwage na busara siku moja moja. haya nayo ni matatizo ya kupata kazi kwa vimemo vya baba. ungekuwa fiighter ungejua kuwa hiyo position haihitaji wanaobwatuka pumba kama wewe. unaua chama waliokupa hawakukupima akili zako
 
ndo umeongea nini wewe? nilikuwa nakuheshimu ila hapa umeniangusha sana! umeongea pumba kwelikweli, sisi tunachekwa hawa niggaz na baadhi ya wazungu wanatwambia we are doomed kuweka ofisi za chama tawala(kinawakilisha Tanzania nzima) kwenye car wash
Tafuta picha na uzipost hapa..
 
Back
Top Bottom