CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

We upo marekani af mjinga ivo!ulizamia au ulilipiwa nauli km msaada wkt unaenda uko..
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?

Mkuu, ili kuepushana speculations za wachangiaji nini madhumuni ya ziara yako Marekani?
 
Wakifika mikoani wanaishia mijini. Huwaoni tena hadi kipindi cha kampeni!
Lakini huu ni umbumbumbu tuu tulionao wananchi. Tunamchagua mbunge kisha anahama jimboni, anahamia Dar(wengi wao). Sasa ni namna gani anawakilisha jimbo lake? Au ni kwa namna gani anaweza kuyajua matatizo yanayowakumba wanajimbo wake? Lakini cha ajabu, baada ya miaka mi5 anakuja na tisheti na kofia anatupatia, tunamchagua tena!
Haya sasa na hili la kufungua matawi us wakati hata hapa nchini kuna wananchi hawajawahi kutembelewa!
Kaaz kwelikweli
Nyie na CCM mtabanana mno mbona huku kwetu Mwanza haji wala JK haji inakuwaje ni US tu ? Misafara kila siku yeye ana watu wangapi kwenye msafara wake ?
 
We upo marekani af mjinga ivo!ulizamia au ulilipiwa nauli km msaada wkt unaenda uko..
we kilaza kwelikweli, yaani dah unajiaibisha, sasa haapo ndo umeongea nini? weka cheti chako hapa na mimi niweke changu halafu watu watwambie nani mjinga ? au Mod naomba tutungie mtihani wa kutest upeo mimi na huyu mnywa pombe ya mnazi hapa halafu nimweke begani ndo ataniheshimu
 
huyo akafungue hata mwezini.
Watanzania hawaitaki ccm.
Miaka ya nyuma kura zilikua zinaitafuta ccm ila sasa c cm ndo wanazitafuta kura.
Na bado vumbi halijaanza.
Nchi ikichukuliwa na upinzani TANZANIA HAITAKUWA SALAMA TENA KWA MAFISADI.HATA WEWE NAPE CJUI UTAISHI WAPI MANA WEWE NI MNAFIKI WA MAPINDUZI YA MTU MWEUSI NCHI MWETU.
 
Kwa kiongozi wa chama wa hadhi yako unapofanya mambo kama "hamnazo" lazima sisi wenye akili timamu tukuonye look hebu mkuu fungua akili yako ili iweze kusikia, kuchambua na kuelewa, mwishoni nikupe onyo kali kuwa usikariri kuwa ni lazima ukanushe kila kitu kama unavyojaribu kufanya hapa unajidhalilisha, ukweli kama huu kubali tu, angalia huyu jamaa kwa kupenda kukariri kuwa ni lazima ufunge kufuli kujilinda usipate ukimwi teh teh teh hakuelewa ni bongo akadhani ni kufanya mchezo huu wa kipuuzi, TAKE CARE! Swali nalokuacha nalo ni hili kama ulizuiwa kwenda IGUNGA kwanini usiitwe ni vuvuzela la CCM?
View attachment 40528

mkuu

sina cha kuongezea

thanks
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?

MASIKINI WEEEEEEE.!KUNA SHARTI MOJA TU LA KUA MUONGO NALO NI "USIWE MSAHAULIFU",umesahau kua uliikana hii profile na kusema si yako.?au unafikiri wana JF ni wale waTZ mlowaambia mkiingia madarakani mtaondoa umasikini alafu baada ya kuingia mkasema hamjui kwann TZ ni masikini..hivi una mke wewe.?sasa mbona hauna msimamo.?
 
( Joining date yako 2 July 2011)! NIMEIPENDA HII SANA
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?

We si ulikana kutangaza matokeo Igunga ? Inakuwaje Leo unajitokeza?
 
kwani nape mzimawa akili jamani,hiki kijamaa ni kilaza sana,bwabwaja,mapepe,hamnazo,mropokaji,mkurupukaji yaan the green walikosea sana kumpa uongozi huyu ng'ombe
 
Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama tawala(CCM) huku wamarekani wanatushangaa iweje ofisi iwe kwenye car wash? au vituo vya kulelea wazee? na ikumbukwe kuwa alichokuwa anasema Nape ni kuwa yeye anzindua matawi ya chama tawala cha Tanzania hivyo wote tunaonekana "HAMNAZO"
sasa kama ofisi za CCM zipo katika hizo sehemu ulitaka aende wapi kufungua?
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?
Huku kuropoka kwako na kukurupuka ndiyo maana tarehe16-11-2011 utapanda kizimbani kwakuropoka na kukurupika ukajikuta unazungumzia shauri liliko mahakamani.......
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?
Hivi Nape, huwezi kumjibu mtu kwa kutumia busara kama kiongozi mpaka utumie maneno ya kitaarabu taarabu? Onyesha hekima yako mdogo wangu na kuficha.............
Kama kiongozi kukumbana na challenge kama hizi ni jambo la kawaida vinginevyo achana na shughuli hiyo. Enzi za kusifiwasifiwa zimesha kwisha hivyo badilika kama unataka siku moja kuwa juu zaidi ya hapo.
 
Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama tawala(CCM) huku wamarekani wanatushangaa iweje ofisi iwe kwenye car wash? au vituo vya kulelea wazee? na ikumbukwe kuwa alichokuwa anasema Nape ni kuwa yeye anzindua matawi ya chama tawala cha Tanzania hivyo wote tunaonekana "HAMNAZO"
Anaendekeza itikadi za kwao walikopaharibu[bongo]. Maana wanafungua matawi hadi kwenye vijiwe vya kahawa!
 
Kweli ninyi hamnazo simnajipendekeza sana, kama vipi rudini tanzania. Mbona mnateseka sana nchi za watu mkiishi kwa benefits wakati bongo raha msatarehe watu wanakula bata tu. Nimetembea nchi nyingi lakini bado naona tanzania ya ukweli. Watanzania wengi waliopo nje ya nchi wanawadanganya sana kuwa huko maisha babu kubwa hakuna lolote mnaishia kuosha magari na kuuza unga tu.

Unachakachua thread kaka
 
Karekebishe jina, halafu njoo tuongee mambo yanayogusa maisha ya watanzania si hoja za kukurupuka kama mlevi

Hiyo ni ID yangu, ndivyo ninvyotaka isomeke.Najua unataka isomeke FREEDOMFIGHTER, lakini wewe siyo mimi. Haya turudi kwenye swali , kwanini unatumia mkorogo?
 
Back
Top Bottom