Elections 2010 CCM yatoa tamko kuhusu kitendo cha wabunge wa CHADEMA

John chiligati wa CCM ndo ameongea hizo pumba mbele ya waandishi wa habari (this guy must be mad) eti kasema chama chake na kushirikiana na vyama vingine vinapeleka pendekezo lao bungeni waone uwezekano wa kuwazuia hawa wapiganaji
 
sasa hiyo ni petrol kumwaga kwenye moto hawa ccm woote uwezo wa sheria ni mdogo
then thy act like thy know averything, thus is to show how thy are so stupid by Law
 
Siku ya Nyani kufa Miti yote huteleza.. Jamaa hawakuamini kumwona Chairman Mbowe na convoy lake wakipta mbele ya JK alipoanza kuhutubia! Hakika ingekuwa enzi za Mahita angechimba mkwara mbuzi.

Kwa Mkwele mcheza mdundiko hayo kwake ni kawaida tu hakosi hata usingizi. Nao watalala wataamka lakini sasa wanajua kuwa Chadema imeamsha wengi waiokuwa ignorant.
 
Unajua wabunge wa CCM ni wa chache sana wanaozijua sheria na kanuni za bunge, ukimuondoa Sitta, Harrison Mwakyembe na wengine wachache sana ndiyo wanakubalika kuwa wanazisoma sheria hizo wengine ni wauza sura, ni watu wa vijiweni wanaongea lolote litokalo kinywani wakidhani watanzania wa leo ni wale wa 1995.Chiligati ni mmoja wa vilaza ndani ya CCM press conference yake kapotezea muda waandishi hana jipya.Nahisi kina mwakyembe watamuambia baadae kuwa ametokota hakuna adhabu hapo Chiligati ni mmoja ya wabunge waliogawiwa masanduku ya kura za wizi kama Mahanga lazima alopoke kutetea ujambazi wao.HANA MPYA .Chadema haina kipimo bungeni hakuna wa kupammbana na figures zile.CHILIGATI ARUDI CHUONI AKANOE UBONGO KWANZA
 
Ole wao!
Basi wakubali kwamba walichakachua matokeo then tufanye yafuatayo;
1.marekebisho ya katiba kikiwemo kifungu kile kitakocho tengua matokeo potofu ya uchaguzi.
2. Tuchague (sio kuteua) Tume huru ya uchaguzi ambayo itakuwa independent na iongozwe na watu watakaokuwa wazuri na wazoefu wa kufafanua vifungu vya sheria na katiba ya Nchi.
3.wasimamizi wa uchaguzi majimboni wasiwe Wakurugenzi wa wilaya kama ilivyosasa.
4. Tuchague kiongozi mkuu wa TAKUKURU na aape kuwajibika kwa masrahi ya taifa na ikithibitika kama ameenda kinyume na utendaji wa ofisi kwa kumpendelea mtu yeyote yule basi anyongwe mpaka kufa.
Eventually the NEC will declare a call for the General Election.
 
Hahaha, hii kali
 
Siku ya Nyani kufa Miti yote huteleza.. Jamaa hawakuamini kumwona Chairman Mbowe na convoy lake wakipta mbele ya JK alipoanza kuhutubia! Hakika ingekuwa enzi za Mahita angechimba mkwara mbuzi.

Kwa Mkwele mcheza mdundiko hayo kwake ni kawaida tu hakosi hata usingizi. Nao watalala wataamka lakini sasa wanajua kuwa Chadema imeamsha wengi waiokuwa ignorant.

Nyie ndio wabaguzi msiotakiwa katika nchi hii. Najua inawauma sana kwa mswahili kukaa pale Ikulu na itawauma sana 5 more years.
 
Na kwa wewe Msukuma mcheza na nyoka au muuwa albino, mchaga- mwizi mnywa mbege....acha hizo huwezi kumchukia mtu kwa kabila lake..nyie ndio wabaguzi msiotakiwa katika nchi hii. Najua inawauma sana kwa mswahili kukaa pale Ikulu na itawauma sana 5 more years.

punguza jazba mkuu
 
Ndiyo maana kuna orodha ya Wabunge Vihiyo wa CCM.

Wanadhani kwa wao kuwa CCM, basi watu wengine hawana uwezo wa kufikiri.
 
na kwa wewe msukuma mcheza na nyoka au muuwa albino, mchaga- mwizi mnywa mbege....acha hizo huwezi kumchukia mtu kwa kabila lake..nyie ndio wabaguzi msiotakiwa katika nchi hii. Najua inawauma sana kwa mswahili kukaa pale ikulu na itawauma sana 5 more years.

sikiliza ndugu kashfa zote za nini, acha hizo, sio fresh bana, two wrongs does not make a right jamaa kumuita jk mkwere hajamtukana ni kabila lake
 
Haya yalitarajiwa na nina imani kabisa kwamba Chadema watanyang'anywa hadhi ya kuongoza upinzani Bungeni.

Kwanza hali itakuwa mbaya sana kwa Chadema Bunge litakapoanza kujadili Hotuba ya JK.
Watajikuta katika wakati mgumu wa kuwepo Bungeni wakati wa majadiliano ya hotuba waliyoisusia.

Wakisusa kuwepo wakati wa mjadala huo ni sawa na kujipalia makaa zaidi.

Tulishauri tukapuuzwa. 'Negative implications' tulizokuwa tunazitolea angalizo ndio hizi sasa.
 
Ile move ilikuwa ni pigo la nguvu kwa JK na CCM yake ndio maana aliduwaa na hakuamini kuwa yamemtokea. Sasa wanahaha, hawajui lakufanya zaidi ya kutoa matamko yanayowaharibia zaidi. Kama ingekuwa ni ktk boxing, ile ingekuwa Uppercut kama zile za Mohamed Ali
 
May I know your qualification, kwa IQ yako lazima unajua sheria kuliko, Tundu, Mabere na una upeo kuliko Prof Baregu, (Hawa watu wanajua wanalolifanya and they are not stupid kutokuangalia implications first)
Haya yalitarajiwa na nina imani kabisa kwamba Chadema watanyang'anywa hadhi ya kuongoza upinzani Bungeni.

Kwanza hali itakuwa mbaya sana kwa Chadema Bunge litakapoanza kujadili Hotuba ya JK.
Watajikuta katika wakati mgumu wa kuwepo Bungeni wakati wa majadiliano ya hotuba waliyoisusia.

Wakisusa kuwepo wakati wa mjadala huo ni sawa na kujipalia makaa zaidi.

Tulishauri tukapuuzwa. 'Negative implications' tulizokuwa tunazitolea angalizo ndio hizi sasa.
 
Ile move ilikuwa ni pigo la nguvu kwa JK na CCM yake ndio maana aliduwaa na hakuamini kuwa yamemtokea. Sasa wanahaha, hawajui lakufanya zaidi ya kutoa matamko yanayowaharibia zaidi. Kama ingekuwa ni ktk boxing, ile ingekuwa Uppercut kama zile za Mohamed Ali

True Kabisa kwenye football hii ingeitwa , Counter Attack ya Nguvu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom