Kilitrekkers
Member
- Nov 19, 2010
- 7
- 0
Bahati mbaya sana kwa chadema sababu kwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini wamejiona wako karibu sana na ushindi...ndoto za mchana hizo, serikali imeliona hili na watabana kote waliookuwa wamewalegezea. Sio hatia nzuri kwa wanachadema sababu Richmond hakuna Tena sijui safari hii nini! Wananchi waliowachagua wanategemea wawafanyie mabadiliko na kuleta maendeleo sio vinginevyo. Na tuone mabadiliko yatatokea wapi kwa majimbo ya chadema.Afadhali Zitto awe mwenyekiti maana Chadema ni kwa maslahi ya wafanyabiashara wachaga!!!huo ndo ukweli.