CCM yatengeneza kadi bandia, ni za CHADEMA na kuzigawa kwa wana CCM kisha kuzirejesha ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yatengeneza kadi bandia, ni za CHADEMA na kuzigawa kwa wana CCM kisha kuzirejesha !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOB SEEKER, Feb 7, 2012.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm Inatengeneza kadi bandia za chadema na kuzisambaza kwa baadghi ya wana ccm kisha kuzirejesha ili chama kionekane kukimbiwa Hapa arusha maeneo ya kimandolu kuna kadi zinagawiwa kwa wana ccm na viongozi wa juu wa ccm
   
 2. h

  holowane Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  CCM wamefilisika sasa wanajaribu kutumia cheap politics kuwahadaa wananchi, itakula kwao. CDM si chama cha kuchezea.
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Umejuaje kama ni za bandia? Labda ulete ushahidi mwingine kuthibitisha madai yako.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Umehoji usahihi wa mleta habari lakini?
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Uzushi mtupu. mods tou hii pumba humu janvini.
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
Loading...