CCM yasomba viongozi ACT, CHADEMA, CUF Tarime, Mwanza, Bunda, Dar es Salaam

Dec 10, 2017
57
143
MWENYEKITI MPYA UVCCM AANZA KWA KUVUNA VIONGOZI WA UPINZANI KAMA KUMBI KUMBI
VIONGOZI WAFUATAO TOKA TARIME, MWANZA, BUNDA, DAR, BUTIAMA WAPOKELEWA NA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA NDUGU KHERI JAMES JANA JIONI KWENYE MKUTANO MAALUM WA KUTAMBULISHWA KWAO AMBAPO ALIKUWA NA MH. HUMPHREY POLEPOLE NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM TANZANIA BARA, MH. MPOGORO.
1. Pascal Maswi Waryoba
Mwenyekiti ACT (W) Tarime.
2. Antoni Matiko Marigiri
katibu wa mipango na uchaguzi (W) Tarime

3. Yasini Iddy Daudi
katibu vijana ACT (W) Tarime

4. Julius Sinda Nyankomo
katibu CUF (W) Tarime

5. Rose Peter
mwenyekiti vijana ACT (W) Ilala.

6. Nabii Andrew
Msanii wa nyimbo za kuhamasisha chadema.
7. Emmanuel Kitundu
Afisa tawala ACT Makao Makuu
8. Wilfred Noel Kitundu
Mwenyekiti (M) Singida

9. Namamia John Wazae
Mwenyekiti (W) Singida Mjini.
10. Mch. Lip Loth Robert
Katibu (M) Singida

11. Robert Gwanchele
Alikuwa katibu wa mkoa ACT mkoa wa Mwanza.
12. Ramadhan Itenya
Alikuwa mwenyekiti ngome ya vijana ACT - MKoa wa Mwanza na pia aligombea ubunge ACT jimbo la Bunda Vijijini
13. Julius Kambarage
Muasisi wa ACT jimbo la Butiama na mgombea ubunge 2015 jimbo la butiama kupitia ACT.
14. Jackob Mosha
Mwenyekiti BAVICHA kata ya Mabibo
15. Mwantum Mgonja
Afisa Sheria ACT makao makuu.
 

Attachments

  • IMG_9014.JPG
    IMG_9014.JPG
    211.1 KB · Views: 71
  • IMG_9045.JPG
    IMG_9045.JPG
    161.6 KB · Views: 84
  • IMG_9051.JPG
    IMG_9051.JPG
    190.3 KB · Views: 52
  • IMG_9052.JPG
    IMG_9052.JPG
    205.2 KB · Views: 57
  • IMG_9053.JPG
    IMG_9053.JPG
    185.3 KB · Views: 60
  • IMG_9054.JPG
    IMG_9054.JPG
    198.2 KB · Views: 80
  • IMG_9060.JPG
    IMG_9060.JPG
    171.4 KB · Views: 69
  • IMG_9065.JPG
    IMG_9065.JPG
    223.1 KB · Views: 54
  • IMG_9066.JPG
    IMG_9066.JPG
    228.8 KB · Views: 54
  • ACT 1.png
    ACT 1.png
    173.4 KB · Views: 74
  • ACT2.png
    ACT2.png
    176.9 KB · Views: 75
  • ACT3.png
    ACT3.png
    199 KB · Views: 67
  • ACT4.png
    ACT4.png
    176.3 KB · Views: 68
mmmmmh hatari sana hadi nimewaonea huruma chadema na act yani unaweza kukuta jumatatu MBOWE kabaki na baby wake Mnkya
Usione huruma ila usubiri mikakati watakayokuja nayo ya kujenga nchi na kuitoa kwenye umaskini uliokithiri. Nadhani kuwa upinzani waliifanya nchi hii maskini zaidi sasa tusubiri baada ya miezi miwili viwonder vitaongezeka, afya itaimalika, elimu itakuwa ya juu sana, miundo mbinu itakuwa ya kimataifa kuliko hata ulaya. Nawasubiri waje tu na Anna akiongoza jahazi. Vilaza wa upinzani wanaangalia, wanapepesa macho, wanasubiriiii matukio ya mwakaa haooooooo.
 
Kila mtu anapenda kuwe na upinzani. Changamoto ni jinsi chama kikuu cha upinzani kilivyojengwa, misingi yake imekaa kujuanajuana na labda niseme kuwa kimekaa kikanda kama sio kifalme yaan akitoka Mbowe atamwachia mtu wake wa karibu huku CCM wanaangalia ni nini utakifanyia chama hii ni pamoja na sera endelevu ila ukifika CDM watakuangalia umetokea wapi na unajuana na nani.

Halaf kukubali mazuri ya mwenzio ni kukukomaa kisiasa tofauti na CDM wanavyofanya.
Kuna wanaosema ACT ni CCM B lakini kama ni kweli basi wanamipango na wamewashinda mbinu.
 
sasa upinzani kwisha zao, endeleeni kukusa hata uchaguzi ulio mbele yetu hapo mtaona maajabu, ukweli ni huu hata mimi Mbowe simuamini hata kidogo
Ukioma mtu anafurahia kuhujumiwa kwa upinzani na anafurahia kuto kuwepo kwa upinzan lazima kuna vitu vifuatavyo hana

1 . hana elimu kabisa yaani hajasoma na hajui chochote kuhusu siasa zaid ya ulimbukeni wa kisiasa na hajui chochote kuhusu siasa
2 , ni mtumwa wa watu fulani kiakili maana amelishwa maneno ya kusema na watu fulan kwa hiyo hata yeye mwenye hajui anacho tetea
3. Ni ccm malipo kitengo maalum cha kupotosha ukweli
 
Back
Top Bottom