CCM yasomba viongozi ACT, CHADEMA, CUF Tarime, Mwanza, Bunda, Dar es Salaam

Muelekeo mzuri huu wa kununua waoinzani ama?
Kuua vyama visivyo na dira tupate vyenye ili tumtoe adui yetu. Sikioni hata chama kimoja cha maana na chenye muelekeo wa kweli na dhamira ya kuchukua madaraka ama kuishikisha adabu ccm. Ni vyama vinavyotakiwa vife ama visaidiwe kufa kama inavotokea sasa
 
Asante sana mkuu kwa kuona mbali, haya majibu mepesi kwa issues ngumu yanayotolewa na Lema na wenzake ngoja tuone!
Lema namlinganisha na Mrema. Hawa wachaga wawili kwakua hamnazo watu wanawstumia kupiga midomo. Mambo ya kukariri hata siku moja huwezi kutetea maana huzijui unakua kama mpayukaji tu mwishowe ukikosa wa kukupatia material unaishia kukaa kimya. Na ndiyo ysliyomkuta mangi mwenzake
 
MWENYEKITI MPYA UVCCM AANZA KWA KUVUNA VIONGOZI WA UPINZANI KAMA KUMBI KUMBI
VIONGOZI WAFUATAO TOKA TARIME, MWANZA, BUNDA, DAR, BUTIAMA WAPOKELEWA NA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA NDUGU KHERI JAMES JANA JIONI KWENYE MKUTANO MAALUM WA KUTAMBULISHWA KWAO AMBAPO ALIKUWA NA MH. HUMPHREY POLEPOLE NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM TANZANIA BARA, MH. MPOGORO.
1. Pascal Maswi Waryoba
Mwenyekiti ACT (W) Tarime.
2. Antoni Matiko Marigiri
katibu wa mipango na uchaguzi (W) Tarime

3. Yasini Iddy Daudi
katibu vijana ACT (W) Tarime

4. Julius Sinda Nyankomo
katibu CUF (W) Tarime

5. Rose Peter
mwenyekiti vijana ACT (W) Ilala.

6. Nabii Andrew
Msanii wa nyimbo za kuhamasisha chadema.
7. Emmanuel Kitundu
Afisa tawala ACT Makao Makuu
8. Wilfred Noel Kitundu
Mwenyekiti (M) Singida

9. Namamia John Wazae
Mwenyekiti (W) Singida Mjini.
10. Mch. Lip Loth Robert
Katibu (M) Singida

11. Robert Gwanchele
Alikuwa katibu wa mkoa ACT mkoa wa Mwanza.
12. Ramadhan Itenya
Alikuwa mwenyekiti ngome ya vijana ACT - MKoa wa Mwanza na pia aligombea ubunge ACT jimbo la Bunda Vijijini
13. Julius Kambarage
Muasisi wa ACT jimbo la Butiama na mgombea ubunge 2015 jimbo la butiama kupitia ACT.
14. Jackob Mosha
Mwenyekiti BAVICHA kata ya Mabibo
15. Mwantum Mgonja
Afisa Sheria ACT makao makuu.
Mbona watu wenyewe wamejichokea kama wanaumwa kipindupindu, haya chukueni makinikia yenu mkangaike nayo.
 
Back
Top Bottom