CCM yasikitishwa, yaomba radhi kwa Bango lenye ujumbe wa Uchochezi Zanzibar

eeh kwa kweli mwenye bango yuko sawa kwa mtu anaye jua hawa watu vizuri
yaani wanaona sisi kama takataka


wengine wako huku wana migodi na wanazurumu watanzania wenzetu na wanapeta, bila shida
 
Kwann serikali isitoe tamko juu ya hilo bango na badala yake chama ndio kinatoa tamko? Kwann hizo sherehe zilikuwa za chama au za kiserikali?
 
eeh kwa kweli mwenye bango yuko sawa kwa mtu anaye jua hawa watu vizuri
yaani wanaona sisi kama takataka


wengine wako huku wana migodi na wanazurumu watanzania wenzetu na wanapeta, bila shida
Pole kaburu usituharibie taifa letu
 
hasira zote za kushindwa uchaguzi zimetapikwa hapa...poleni...

ccm ndo hivyo inatawala hadi 2020 na hapo tena inashinda hadi 2025...poleni kwa mara nyingine...
 
Last edited:
Haya jee?
 

Attachments

  • 1452712443690.jpg
    1452712443690.jpg
    53.7 KB · Views: 47
No way.....kuweni specific.Bango halikubebwa na Mwanachi mmoja bali lilibebwa na Mwanachama wa CCM akiwa mbele akiongoza wengine huku akiwa amevaa sare za ccm.Kwani kabla ya kuanza maandamano hawakukaguwa mabango au kila mtu alikuwa anaandika atakavyo...????hapo inaonesha wako dis organized....SHAME.....SHAME....SHAME...hii ni dhambi mbaya saana na itawatafuna milele.Mzee Karume muasisi wa mapinduzi aliowa Muarabu wakajaaliwa watoto machotara sasa leo anatukanwa.NO.....NO....NO.

Hapo kwenye bold: alioa waarabu/wahindi: Fatma (muhindi?), Nasreen (Ithnasher/Iranian), Moza (muarabu), Helemu (muarabu) na Fadya (muarabu)

Amani Karume amemuoa Shadya (muarabu)
Ali Karume amemuoa Huda(?) muarabu
Akina Thabit Kombo, Bavuai, Salimini Amour na kaka zake akina Kimara (kuwataja wachache) wameoa waarabu ama Wairani: leo hii hao machotara ni akina nani?
Ali Hassan Mwinyi ameoa muarabu.

Waondoe hao watoto wao kwanza kabla ya hao wengine kuondoka.

Bango hili liliwekwa Kisonge juzi wakachekelea, jana wakalibeba kwenye maandamano wakaendelea kuchekelea, ........
 
Nimejikuta nakumbuka maneno haya ya enzi zile.

P.W.BOTHA,FORMER PRESIDENT OF SOUTH AFRICA, IN 1985 SAID THIS: "BLACKS CANNOT RULE THEMSELVES.GIVE THEM GUNS AND THEY WILL KILL EACH OTHER."

Akaendelea: "THEY ARE GOOD IN NOTHING ELSE BUT IN MAKING NOISE,DANCING,MARYING MANY WIVES AND INDULGING IN SEX."
Ingawa maneno hayo yana ukweli kwa sehemu kubwa, bado inategemea na eneo husika (geographical context) na watajwa husika (ethnic group). Ni kweli waafrika waweza kufanya hayo, ni kwa sababu ya mazingira na mambo ya msingi yanayopelekea kufikiri, kusema na kutenda kwa jinsi fulani kama mfumo au utamaduni wa maisha ya jamii husika.
PW Botha aliongelea hayo katika mtazamo wa Afrika Kusini ya wakati huo na watu waliotawaliwa na kunyanyaswa, kuonewa na kupuuzwa kwa kiasi kikubwa hadi kujikatia tamaa ya maisha.
Kwa walioishi US wanaweza kuelewa hili hasa kipindi kile cha miaka ya 1960's na kabla (wakati ubaguzi ukiwa kiwango cha juu. Wamarekani Weusi wameathirika sana na mazingira hayo; na twaweza kuona vile baadhi yao (sio wote) wanapofanikiwa hasa kwenye muziki, movie, nk wanajionyesha sana kwa kuvaa, kuendesha magari ya fahari, na hata swala la mapenzi.
Pamoja na hayo yote, ni ukweli usiopingika kwamba BINADAMU WOTE NI SAWA, sio maana ya kupata haki za kimsingi, ila kwa maana ya KUWA NA UWEZO SAWA wa KUFIKIRI NA KUTOA MAAMUZI MAKUBWA.
Afrika ina sifa nzuri tu ya kimaendeleo (kihistoria) ndio maana uvumbuzi wa kufua chuma, ha hata maandishi ulitokea Afrika.
Leo hii Marekani (USA) taifa lenye kuaminika kama taifa lenye nguvu kubwa kabisa duniani, linaongozwa na mwafrika, sio eti ni mtoto wa ukoo wa kitumwa ulioenda juko miaka mingi iliyopita, bali mtoto wa baba wa kijaluo kutoka Kenya.
 
Ujumbe Uliokusudiwa kufikishwa kwa wanchi na Ulimwengu umewafika ,hilo lakusikitishwa ni unafiki tu kwanza inakuwaje mtowa hilo sikitiko awe CCM wa bara na si wa Zanzibar ? wakati hivi kuna tutofahamiana baina ya CCM Zanzibar Na CUF huku CCM Bara wamejifanya kama hawapo au hayawahusu lakini cha kushanga inapofika kuleta majeshi ya mauwaji kwa Raia wanakuwa hodari na wepesi .
 
Haya ni moja katika mfululizo wa uchawi wanaofanya wenzetu. Hebu turudi kwenye katiba, Asha bakari,alitoa matashi ndani ya bunge la katiba, Shaka Hamdi ndio msimamo haswa, Vuai Ali Vuai aliimba nyimbo ya mtoto wa nyoka ni nyoka na msemaji wa chama Bw. Borafya alitoa matamshi kama hayo katika kiriri cha kampeni wala haikuwa kitu. Lakini njia ya muongo ni fupi. Nimemsikia Baraka Shamte akiongea na UVCCM jana na kauli zao wote ni hizo hizo za kiubaguzi.
 
TAARIFA KWA UMMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaomba radhi kwa ujumbe huo, kinapinga na kinakemea kabisa fikra, hisia na mitazamo yoyote yenye maudhui ya kibaguzi.

Ujumbe huo sio tu kuwa una maudhui ya kibaguzi bali pia unaenda kinyume kabisa na falsafa na Shabaha ya waasisi wa Mapinduzi hayo Matukufu ya mwaka 1964 na unapingana na misingi na itikadi ya CCM inayohimiza Umoja na Mshikamano wa Kitaifa.

Daniel Chongolo
Mkuu wa Mawasiliano na Umma CCM.
12/01/2016

View attachment 316495
Mbona makamo wa rais alibariki jumbe zote zilizokuwemo kwenye mabango ikiwa ni pamoja na hilo kuwa atayafanyia kazi? Mlishakula nyama ya binadamu mataendelea kula tu. Mlishaanza kumbagua Salim A. Salim hivyo hiyo laana itawamaliza tu!
 
Nimejikuta nakumbuka maneno haya ya enzi zile.

P.W.BOTHA,FORMER PRESIDENT OF SOUTH AFRICA, IN 1985 SAID THIS: "BLACKS CANNOT RULE THEMSELVES.GIVE THEM GUNS AND THEY WILL KILL EACH OTHER."

Akaendelea: "THEY ARE GOOD IN NOTHING ELSE BUT IN MAKING NOISE,DANCING,MARYING MANY WIVES AND INDULGING IN SEX."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom