CCM yashinda unaibu meya Ilala Sasa meya na naibu meya wote CCM ,CHADEMA Ilala Out!

Uchaguzi wa naibu meya wa Ilala umefanyika Leo ambapo Mheshimiwa Masaburi Kutoka CCM kashinda.Kwa sasa Ilala meya na naibu meya wote CCM chadema wamevurumishwa wametoka ukumbini wakiwa wamejiinamia na huku wengine wakiwemo hasa wanaume wakilengwa lengwa na machozi
Acha kushabikia laana. Punguani kabisa. Mpaka sasa hujui kuwa CCM ni laana katika nchi?
 
Namkumbuka Spika alivyowataka wajitokeze kujibu mapigo hadi kwenye mitandao. Wanatekeleza.
 
Kumbuka chozi la mtu ni Bomu zaidi ya Yale mafuta ya Msamvu. Leo unachekelea hawo watu wako kuwanyang'anya wenzako haki yao halafu kesho wewe huyo huyo unaanza kulalamika
 
Ningependa yule mwenyekiti wenu ampe pongezi Naibu meya kwa maneno yasiyo pungua mia moja kwa lugha aliyosomea. Hapo atawapa furaha zaidi kuwa katema yai kama kule kwenye Saadaki!
Kwi kwi kwi!
 
Kila chenye mwanzo kina mwisho wake,Na hua dhulma ina malipo yake kwa mtu ayafanyayo kama sio hapa duniani basi Akhera mtakuja kuzilipa izo dhulma mnazofanya kipindi hiki
 
Back
Top Bottom