CCM yashinda unaibu meya Ilala Sasa meya na naibu meya wote CCM ,CHADEMA Ilala Out!

Namhurumia Sugu na Lema Wana madeni hao na mwakani ubunge kea heri sijui watafanyaje madeni ya watu
Baada ya kukihurumia kimama chako kilojaa tongotongo uko kijijin kikioza kwa umaskini ati wamuonea huruma sugu na lema walokaa bungen 4ten straight years.

Poor pro ccm
 
Uchaguzi wa naibu meya wa Ilala umefanyika Leo ambapo Mheshimiwa Masaburi Kutoka CCM kashinda.Kwa sasa Ilala meya na naibu meya wote CCM chadema wamevurumishwa wametoka ukumbini wakiwa wamejiinamia na huku wengine wakiwemo hasa wanaume wakilengwa lengwa na machozi
Mbona ccm inashinda chaguz zote je kuna jipya gani baada ya kushinda? Saiz wameshinda umeya ndo umasikin unaenda kuisha? Tatizo la ajira litaisha kwa huo ushindi?

Wacha mapambio yasiyo na tija kwa taifa
 
Rubbish!
Uchaguzi wa naibu meya wa Ilala umefanyika Leo ambapo Mheshimiwa Masaburi Kutoka CCM kashinda.Kwa sasa Ilala meya na naibu meya wote CCM chadema wamevurumishwa wametoka ukumbini wakiwa wamejiinamia na huku wengine wakiwemo hasa wanaume wakilengwa lengwa na machozi
 
Sisi chadema tumepanga kuwasemea kwa trump siku tukihutubia senet pale Washington
 
Hidaya mbona mipasho omba kazi tot band
Uchaguzi wa naibu meya wa Ilala umefanyika Leo ambapo Mheshimiwa Masaburi Kutoka CCM kashinda.Kwa sasa Ilala meya na naibu meya wote CCM chadema wamevurumishwa wametoka ukumbini wakiwa wamejiinamia na huku wengine wakiwemo hasa wanaume wakilengwa lengwa na machozi
 
Uchaguzi gani ccm wanashiriki kama sio upumbavu tu na uhuni. Bogus kabisa.
 
Back
Top Bottom