CCM yashinda udiwani kata ya Mahida, Rombo

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Nov 7, 2017
248
327
Mtakumbuka Katibu Mkuu wa CCM DKT Bashiru Ally K. alipoenda Rombo Diwani wa CHADEMA kata ya Mahida Mr AIZAKI STEPHEN TARIMO alirudi CCM,kijana huyu anakubalika sana pale Mahida kwa Watu wanaoijua Rombo.
CCM wakamsimamisha kuwa Mgombea na Amepita bila kupingwaaa...
Nafikiri hii Tabia ya CHADEMA kulalamika na kuacha kushiriki hizi chaguzi inazidi kutuua badala ya kutujenga...
Kipi bora tushiriki tujaze mikutano tushindwe ama tusishiriki kabisa...?

Nilienda likizo Rombo Mwezi wa saba,Utafiti wangu mdogo kabisa,Mbunge Selasini hawamtaki tena Rombo na niwazi hawezi kushinda tena tatizo hakuna mtu wa kumwambia ukweli, Chadema tunaogopana.
Mtakumbuka maneno yangu 2020.

Rais MAGUFULI na serikali yake sio wajinga kumpeleka yule DC Agnes pale yule Mama anakubalika Rombo kiasi watu wanafikiria wampe Ubunge kwa kazi anazofanya Rombo ijapo ni mtu wa Mtwara.

Serikali hii si ya kijinga Kumpeleka Afisa Tawala DAS kijana mfia Kijani Asenga pale
Walijua ile ngome yetu na nikiri tumevunjwa vunjwa sana ROMBO,unapita njiani sikuhizi vijana wa bodaboda kwenye vijiwe vyao wanamashina na bendera za CCM,Rombo ipi hii?

Tusipo jitazama tukiendelea kufurahishana kwa Posti humu JF bila kuambiana ukweli....2020 tukipata wabunge 10 Mungu katupendelea.
Kumbukeni haya maneno
IMG_20190720_140224.jpeg
 
mku
Tumekusikia Mmeku.

Lakini kusema Thelathini hawamtaki haupo sahihi.

Mawazo yako ama maoni yako binafsi kutoka kata moja hayawezi kuwa ni maoni ya wananchi wa wilaya nzima ya Rombo.
[/QUOT mkuu nashangaa sanaa juz kutumiwa pcha ya kijiwe changu cha bodaboda Mengwe pale wameweka tawi la hawa inz wa green,hakika vijana wametuangusha pale
 
Mtakumbuka Katibu Mkuu wa CCM DKT Bashiru Ally K. alipoenda Rombo Diwani wa CHADEMA kata ya Mahida Mr AIZAKI STEPHEN TARIMO alirudi CCM,kijana huyu anakubalika sana pale Mahida kwa Watu wanaoijua Rombo.
CCM wakamsimamisha kuwa Mgombea na Amepita bila kupingwaaa...
Nafikiri hii Tabia ya CHADEMA kulalamika na kuacha kushiriki hizi chaguzi inazidi kutuua badala ya kutujenga...
Kipi bora tushiriki tujaze mikutano tushindwe ama tusishiriki kabisa...?

Nilienda likizo Rombo Mwezi wa saba,Utafiti wangu mdogo kabisa,Mbunge Selasini hawamtaki tena Rombo na niwazi hawezi kushinda tena tatizo hakuna mtu wa kumwambia ukweli, Chadema tunaogopana.
Mtakumbuka maneno yangu 2020.

Rais MAGUFULI na serikali yake sio wajinga kumpeleka yule DC Agnes pale yule Mama anakubalika Rombo kiasi watu wanafikiria wampe Ubunge kwa kazi anazofanya Rombo ijapo ni mtu wa Mtwara.

Serikali hii si ya kijinga Kumpeleka Afisa Tawala DAS kijana mfia Kijani Asenga pale
Walijua ile ngome yetu na nikiri tumevunjwa vunjwa sana ROMBO,unapita njiani sikuhizi vijana wa bodaboda kwenye vijiwe vyao wanamashina na bendera za CCM,Rombo ipi hii?

Tusipo jitazama tukiendelea kufurahishana kwa Posti humu JF bila kuambiana ukweli....2020 tukipata wabunge 10 Mungu katupendelea.
Kumbukeni haya manenoView attachment 1173037
kwanini chadema wasirika uchanguzi ambao hata jiwe ametoa onyo kali sana, kumutangaza mupizani mushidi wewe unangoja mauti tu, wacha washide kila kiti, tuone kaa watawekwa huko kaburini na ikulu
 
Mtakumbuka Katibu Mkuu wa CCM DKT Bashiru Ally K. alipoenda Rombo Diwani wa CHADEMA kata ya Mahida Mr AIZAKI STEPHEN TARIMO alirudi CCM,kijana huyu anakubalika sana pale Mahida kwa Watu wanaoijua Rombo.
CCM wakamsimamisha kuwa Mgombea na Amepita bila kupingwaaa...
Nafikiri hii Tabia ya CHADEMA kulalamika na kuacha kushiriki hizi chaguzi inazidi kutuua badala ya kutujenga...
Kipi bora tushiriki tujaze mikutano tushindwe ama tusishiriki kabisa...?

Nilienda likizo Rombo Mwezi wa saba,Utafiti wangu mdogo kabisa,Mbunge Selasini hawamtaki tena Rombo na niwazi hawezi kushinda tena tatizo hakuna mtu wa kumwambia ukweli, Chadema tunaogopana.
Mtakumbuka maneno yangu 2020.

Rais MAGUFULI na serikali yake sio wajinga kumpeleka yule DC Agnes pale yule Mama anakubalika Rombo kiasi watu wanafikiria wampe Ubunge kwa kazi anazofanya Rombo ijapo ni mtu wa Mtwara.

Serikali hii si ya kijinga Kumpeleka Afisa Tawala DAS kijana mfia Kijani Asenga pale
Walijua ile ngome yetu na nikiri tumevunjwa vunjwa sana ROMBO,unapita njiani sikuhizi vijana wa bodaboda kwenye vijiwe vyao wanamashina na bendera za CCM,Rombo ipi hii?

Tusipo jitazama tukiendelea kufurahishana kwa Posti humu JF bila kuambiana ukweli....2020 tukipata wabunge 10 Mungu katupendelea.
Kumbukeni haya manenoView attachment 1173037
Kashiriki wewe na mamayako kwenye Hui upumbavu wa tume, kama chadema kutoshiriki uchaguz inakuua kufa kwani ukifa unafaida gani.
 
Mm warombo siwakubaligi kabisa hasa hawa majirani zangu kuanzia kwa kelele wanapenda sana pombe wezi na hata usafi wao binafsi sijui watakuwa wamebadili siku hizi funza miguuni ndo kama jadi kwao ila siyo nawaponda ila uliyeandika huu uzi utakubaliana na mimi ninachosema all the way from from Georgia us
Mtakumbuka Katibu Mkuu wa CCM DKT Bashiru Ally K. alipoenda Rombo Diwani wa CHADEMA kata ya Mahida Mr AIZAKI STEPHEN TARIMO alirudi CCM,kijana huyu anakubalika sana pale Mahida kwa Watu wanaoijua Rombo.
CCM wakamsimamisha kuwa Mgombea na Amepita bila kupingwaaa...
Nafikiri hii Tabia ya CHADEMA kulalamika na kuacha kushiriki hizi chaguzi inazidi kutuua badala ya kutujenga...
Kipi bora tushiriki tujaze mikutano tushindwe ama tusishiriki kabisa...?

Nilienda likizo Rombo Mwezi wa saba,Utafiti wangu mdogo kabisa,Mbunge Selasini hawamtaki tena Rombo na niwazi hawezi kushinda tena tatizo hakuna mtu wa kumwambia ukweli, Chadema tunaogopana.
Mtakumbuka maneno yangu 2020.

Rais MAGUFULI na serikali yake sio wajinga kumpeleka yule DC Agnes pale yule Mama anakubalika Rombo kiasi watu wanafikiria wampe Ubunge kwa kazi anazofanya Rombo ijapo ni mtu wa Mtwara.

Serikali hii si ya kijinga Kumpeleka Afisa Tawala DAS kijana mfia Kijani Asenga pale
Walijua ile ngome yetu na nikiri tumevunjwa vunjwa sana ROMBO,unapita njiani sikuhizi vijana wa bodaboda kwenye vijiwe vyao wanamashina na bendera za CCM,Rombo ipi hii?

Tusipo jitazama tukiendelea kufurahishana kwa Posti humu JF bila kuambiana ukweli....2020 tukipata wabunge 10 Mungu katupendelea.
Kumbukeni haya manenoView attachment 1173037
 
Mtakumbuka Katibu Mkuu wa CCM DKT Bashiru Ally K. alipoenda Rombo Diwani wa CHADEMA kata ya Mahida Mr AIZAKI STEPHEN TARIMO alirudi CCM,kijana huyu anakubalika sana pale Mahida kwa Watu wanaoijua Rombo.
CCM wakamsimamisha kuwa Mgombea na Amepita bila kupingwaaa...
Nafikiri hii Tabia ya CHADEMA kulalamika na kuacha kushiriki hizi chaguzi inazidi kutuua badala ya kutujenga...
Kipi bora tushiriki tujaze mikutano tushindwe ama tusishiriki kabisa...?

Nilienda likizo Rombo Mwezi wa saba,Utafiti wangu mdogo kabisa,Mbunge Selasini hawamtaki tena Rombo na niwazi hawezi kushinda tena tatizo hakuna mtu wa kumwambia ukweli, Chadema tunaogopana.
Mtakumbuka maneno yangu 2020.

Rais MAGUFULI na serikali yake sio wajinga kumpeleka yule DC Agnes pale yule Mama anakubalika Rombo kiasi watu wanafikiria wampe Ubunge kwa kazi anazofanya Rombo ijapo ni mtu wa Mtwara.

Serikali hii si ya kijinga Kumpeleka Afisa Tawala DAS kijana mfia Kijani Asenga pale
Walijua ile ngome yetu na nikiri tumevunjwa vunjwa sana ROMBO,unapita njiani sikuhizi vijana wa bodaboda kwenye vijiwe vyao wanamashina na bendera za CCM,Rombo ipi hii?

Tusipo jitazama tukiendelea kufurahishana kwa Posti humu JF bila kuambiana ukweli....2020 tukipata wabunge 10 Mungu katupendelea.
Kumbukeni haya manenoView attachment 1173037

Kwa taarifa yako watu wa Rombo wanajitambua hamna mjinga wa kuichagua ccm. Watu hawana muda wa kupoteza maisha yao kisa siasa za kishenzi. Ccm haishindi maana haina uwezo wa kushindana, kwa watu waelewa wameamua kuwaachia goli wafunge likiwa wazi. Huu ni muda wa kutafuta njia mbadala ya kupata viongozi, sio hiyo ya kupiga kura.

Usiwadanganye wanacdm washiriki uchaguzi ambao wataishia kupoteza maisha yao kwa uratibu wa vyombo vya dola, kisha ccm ndio watangazwe washindi. Kama unaona kuna ushindani wa kisiasa ambao wapinzani wa kweli hawatapoteza maisha, anzisha chama chako ukashindane na hicho kikundi cha kijeshi kinachojiita ccm.
 
Back
Top Bottom