CCM yasalimu Amri... Sendeka akaribisha wakosoaji

meku7

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
375
266
Msemaji mkuu wa CCM Ole sendeka .. anakaribisha wasomi,, vyama vya upizani,, NGO's kuwashauri, kuwakosoa, ili waweze kujirekebisha pale walipokosea na kuendana na kasi ya Mh.JPM
Source ITV Newz
 
Good start,maana unafanya Kazi ya watu kwaiyo ni vizuri ukijua watu wanaitaji nn kupitia maoni yao
Msemaji mkuu wa CCM Ole sendeka .. anakaribisha wasomi,, vyama vya upizani,, NGO's kuwashauri, kuwakosoa, ili waweze kujirekebisha pale walipokosea na kuendana na kasi ya Mh.JPM
Source ITV Newz
 
Mh JPM kabla ukikabidhiwa chama tu anza na haya
1. Omba toba kwa wa Tz
2. Futa wimbo wa Cccm ni ile ile (idiology)
3. Bomoa mitandao yote.yote anza upyaaa
 
Kuna uzi ulianzishwa last week kuwa Jamaa ni Computer illiterate
Hajui kutumia Computer
Hapo hapo Lumumba akina Lizaboni, wakudadavuwa, tandale one nk watamsadia kulogin asubuhi akiingia jioni wakati anaondoka wanamsaidi kulogout.
 
Hata wakishauriwa sio rahisi wakiambiwa walirudishe Azimio la Arusha watakubali? Mh.Ole Sendeka CCM haishauriki imetawala zaidi ya miaka 40 inajua kila kitu
 
Waache kuwapotezea muda watu na taaluma zao,matatizo ya watanzania wanayafahamu fika na kama wao hawajui yeye na mwenyekiti wake wakamwulize JPM-ATAWASHAURI WAFANYE NINI ILI NCHI IPATE KASI YA MAENDELEO.
Diranqw.
 
Uwakosoe si utaambiwa wewe ni mchochezi na unasaliti chama.
Kama chama kubwa barani afrika nawaambia tuendelee kupunguza Tembo nchini na tuongeze kilimo cha Lugumi, Escrow, Richmond-Simbion, ma-aipitieli mengi tu yaani tuzidishe kilimo cha Ufisadi kama slogan yetu ya chama inavyosema 'HAPA JOBU TU'
 
Kwani hawajui tunahitaji katiba mpya ya Tume ya Jaji Warioba,mlizuia kwa hila zenu CCM Umma unahitaji katiba mpya.
 
Kuna uzi ulianzishwa last week kuwa Jamaa ni Computer illiterate
Hajui kutumia Computer
Na kuna watu wakasema haina umuhimu kujua eti mbona zamani hakukuwa na computer?
Sasa mkitaka kumshauri Sendeka muandike barua kupitia P.O Box 007 Lumumba Dar na kila siku anaweza kupokea gunia zima la barua na kuzisoma
 
Back
Top Bottom