CCM YAPITA KATA YA LANGILO RUVUMA bila kupingwa!

nini chadema ifanye ili matattizo haya yasitokee??

kwa kuwa fomu zinalipiwa na chama basi ni mali ya chama kwahiyo mgombea asaidiwe na chama kujaza fomu na kuzirudisha kw kusaidiwa na chama kwahiyo uongozi mzima wa kata upewe jukumu l akushughulikia fomu na siyo mgombea.

Pili fomu za chadema deadline yake iwe wiki moja kabla ya deadline kamili ya tume ili kuakikisha mnajipa muda wa kutosha
wa kurekebisha in case likitokea lolote lile na pia swala la kurudisha isiwe jukumu la mgombea pekee bali kata nzima
ipewe jukumu la kuakikisha fomu hizo zinarudishwa on time.
 
wanasiasa huwa mnapenda sana kuwatenga watz kwa kuwagawa ili mzidi kufaid na mbaki madarakan..na hlo limekua ndo lengo la nape na mwigulu na ccm..ukitizama mtari wa mwisho wa mada yako mwerevu anaelewa ujinga unaotaka kusema..NAJUA MTAFANIKIWA KUWADANGANYA WATANZANIA KWA KIPIND FLAN ILA HAMTAWEZA KUWADANGANYA MDA WOTE
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa CHADEMA wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Wewe umewaona CHADEMA? tu vipi CUF, TLP, TADEA etc
 
Vipi kuhusu Cuf, ADC, CCJ/CCK, TLP, APPT, CHAUMA...n.k. Wamesimamisha wagombea wangapi katika kata 26?
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa CHADEMA wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Matamshi kama haya na dhamira yake tumuombe Mungu muyaache, kwasababu baadaye yanapokuja kuidhuru nchi yetu mnaanza kujifanya mnamtafuta mchawi ilihali wachawi ni nyie CCM mlianza kuiandama CUF kwa matamshi kama haya yaliyolenga kuonyesha ni chama cha Waislam, mmehamia kuisema Chadema ni Chama cha Wakristo watu wameshaanza kupambana kidini mnahangahika kutafuta mchawi na sasa mnakomaa kutamka ukanda kwenye Siasa watu wakianza kupambana kwa misingi hii hii mtajifanya tena mnatafuta Mchawi. Ila Nape nakuonea huruma sana umetumika kama Condom kumchafua Lowassa wliokutumia wamekuacha uhusiano na Lowassa upo Tete kumbuka siku zako zinahesabika, 2015 utaikimbia nchi ikishinda CCM Lowassa atashika madaraka na Ikishinda Chadema Dr slaa atakuwa madarakani ukumbuke hata Dr slaa wakati mwingine umekuwa unaachana na hoja unamlopokea matusi ilihali anaweza kabisa kuwa sawa na baba yako
 
Ruvuma ni mbali na makao makuu ya CHADEMA hivyo wanapaswa kusamehewa huko chama hakijafika kikamilifu; shangaa hata kata ya Mianzini, wilayani Temeke, mkoani DSM inasadikiwa CHADEMA hawatii nguvu yeyote kugombea udiwani; WAO ni ARUSHA tu; haya ni maajabu ya CHADEMA

Kweli hapa mnaongea porojo za kisiasa. Mmekuja na hoja kuwa CDM hawajaweka wagombea. majibu mtayapata baada ya uchaguzi, Tulieni Dozi iwaingie.
 
Back
Top Bottom