CCM yapigwa mweleka uchaguzi wa TAHLISO Mwanza, CHADEMA waibuka kidedea

kimeta cha ufisadi

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
398
70
Kitu kinacho onekana ni pigo kwa Ndugu January Makamba anaye taraji kutumia mtandao wa wanavyuo umeingia mchanga baada ya Kiongozi wa TAHLISO kutoka chuo cha Bugando kuwa ni mfuasi wa karibu wa CDM hivyo njozi za January Makamba zimeanza kufifia kwa kasi sana. Baadhi ya makada wa CCM wameonekana kumshambulia ndg Christopher Ngubiagai kwa kushindwa kupanga vizuri karata zake ili khali yeye ndio shughuli yake ya kuhudumia vyuo vikuu. Makada wengi wa elimu ya juu wanasema watamshauri Katibu mkuu wao Kinana amuondoe huyu Christopher Ngubiagai Rais mpya wa Tahliso anaitwa Musa Mdede toka Bugando. January Makamba umepigwa brother Kumbuka kuwa Ujana sio sifa lakini pia Uzee sio Kashifa.
 
I knew This could happen.

Kila kitu kimeenda kama kilivopangwa, Chezea CDM wewe.

YOU HIT ME, WE HIT YOU.

Dawa ya Moto ni Moto tu.
 
Malizeni chuo mkalime huko mana masomo yamewashinda



Hizi dharau ndio zinawapa wananchi hasira hadi wanaua viongozi wenu. Kuweni na kauli njema ili mrudishe heshima kidogo ya chama chenu inayozidi kuporomoka kila uchao.

Majibu ya hivi yanafanya hata sisi tuliokuwa tukiamini ccm kuwaza tena mara mbili kama chama hiki bado ni cha wananchi au cha viongozi.
 
Hili sio lengo la tahliso. Tuliianzisha kuwatetea na kuboresha maslahi ya wanavyuo. Hatukuruhusu kabisa wanasiasa. Leo mmeifanya sehemu ya vyama vya siasa!SHAME ON YOU ALL.
 
Unarukaruka hapa kama changudoa pori aliyekosa soko..

hakuna correlation ya matusi yako na comment yangu na hoja iliyopo mezani. Umeathiriwa na gongo ndio mana unaandika upuuzi jukwaani. Pole sana mkuu
 
siasa za kimapinduzi zilianzia kwa vijana wasomi.Siasa inaweza kuwa hobbie kabla ya kuwa kazi.....
 
Jamani mwenye data anaweza kunisaidia hapa hivi Tanzania kuna vyuo vingapi cdm wanaongoza vingapi na ccm vingapi? Tafadhari hapa ni wenye data za kweli bila kujali itikadi za vyama vyetu.
 
Hizi dharau ndio zinawapa wananchi hasira hadi wanaua viongozi wenu. Kuweni na kauli njema ili mrudishe heshima kidogo ya chama chenu inayozidi kuporomoka kila uchao.

Majibu ya hivi yanafanya hata sisi tuliokuwa tukiamini ccm kuwaza tena mara mbili kama chama hiki bado ni cha wananchi au cha viongozi.

mimi naichukia sana gongo pamoja na wanaoitumia. Hebu tueleze hapa kwa ufasaha kuwa wewe hutumii hiki kinywaji...wasomi wa siku hizi wamechagua easy option ya siasa kwa sababu wameshindwa kushugulisha bongo zao kwenye masomo.. Tahliso sio taasisi ya kisiasa lakini inatumika na wanasiasa kwa malengo ya kisiasa... Nini was the rationale behind your comment then?
 
Jamani mwenye data anaweza kunisaidia hapa hivi Tanzania kuna vyuo vingapi cdm wanaongoza vingapi na ccm vingapi? Tafadhari hapa ni wenye data za kweli bila kujali itikadi za vyama vyetu.

mkuu, kwanini tusijadili ubora wa elimu ya vyuo hivyo badala ya kujadili uchadema na uccm kwenye ishu nyeti ya taaluma?
 
Mwanza ccm ilibaki ktk vtabu vya historia,tunaamini ukikanyaga ardhi ya mwz tayari wewe ni chadema

sio kweli. Mkoa wa mwanza una majimbo 8 ya uchaguzi. Ccm ina majimbo 5 chadema ina matatu. Unatoa wapi authority ya kuamini kwamba machadema ndio yametawala siasa za mwanza? Danganya watoto wenzako huko kwenye rede
 
Back
Top Bottom