kimeta cha ufisadi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 398
- 70
Kitu kinacho onekana ni pigo kwa Ndugu January Makamba anaye taraji kutumia mtandao wa wanavyuo umeingia mchanga baada ya Kiongozi wa TAHLISO kutoka chuo cha Bugando kuwa ni mfuasi wa karibu wa CDM hivyo njozi za January Makamba zimeanza kufifia kwa kasi sana. Baadhi ya makada wa CCM wameonekana kumshambulia ndg Christopher Ngubiagai kwa kushindwa kupanga vizuri karata zake ili khali yeye ndio shughuli yake ya kuhudumia vyuo vikuu. Makada wengi wa elimu ya juu wanasema watamshauri Katibu mkuu wao Kinana amuondoe huyu Christopher Ngubiagai Rais mpya wa Tahliso anaitwa Musa Mdede toka Bugando. January Makamba umepigwa brother Kumbuka kuwa Ujana sio sifa lakini pia Uzee sio Kashifa.