Kamanda Francis
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 834
- 140
Ama Kweli ni Pigo takatifu! Hii Imedhihirika Baada ya Uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Serengeti chini ya Viongozi wa Chama, Mwenyekiti wa Wilaya, Katibu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Chadema ni Msingi Wilaya ya Serengeti, Mwenyekiti BAVICHA, Katibu BAVICHA na Katibu Mwenezi Wa Wilaya hiyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Stand Kuu Mugumu-Mjini MH. MWL. MARWA RYOBA Kufanya Ziara ya Kukagua na Kukiimarisha Chama Jimboni humo ili Kujiweka tayari na Mapambano ya Chaguzi zijazo, Kwa Taarifa ya Katibu wa Wilaya hiyo Ndg. Ngereza Inasema Ziara hiyo Itafanyika Kwa Awamu Tatu, huku Awamu ya Kwanza Ikizihusisha Kata za Kibeyo, Manchira, Stand Kuu, Nyamoko, Machochwe, Kitunguruma, Nyansurura, Kebancha, Rung'abure, Issenye, Natta n.k. Aidha amesema Wamepanga Kuzifikia Kata zote 28 Jimboni humo Kabla ya Mwezi wa Pili. Baada ya Mbunge wa Jimbo hilo Dr.Steven Kebwe asiyezungumza Bungeni na Asiyefanya Mikutano ya Hadhara Jimboni Kwake Kusikia habari hizo Ameshituko na Kupaniki mpaka akaamua Kuanza Kuwapigia Simu Wapambe wake Jimboni.