CCM yapata Pigo Takatifu huko Serengeti Mara, Mbunge Wao Kebwe Ahaha:

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
140
Ama Kweli ni Pigo takatifu! Hii Imedhihirika Baada ya Uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Serengeti chini ya Viongozi wa Chama, Mwenyekiti wa Wilaya, Katibu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Chadema ni Msingi Wilaya ya Serengeti, Mwenyekiti BAVICHA, Katibu BAVICHA na Katibu Mwenezi Wa Wilaya hiyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Stand Kuu Mugumu-Mjini MH. MWL. MARWA RYOBA Kufanya Ziara ya Kukagua na Kukiimarisha Chama Jimboni humo ili Kujiweka tayari na Mapambano ya Chaguzi zijazo, Kwa Taarifa ya Katibu wa Wilaya hiyo Ndg. Ngereza Inasema Ziara hiyo Itafanyika Kwa Awamu Tatu, huku Awamu ya Kwanza Ikizihusisha Kata za Kibeyo, Manchira, Stand Kuu, Nyamoko, Machochwe, Kitunguruma, Nyansurura, Kebancha, Rung'abure, Issenye, Natta n.k. Aidha amesema Wamepanga Kuzifikia Kata zote 28 Jimboni humo Kabla ya Mwezi wa Pili. Baada ya Mbunge wa Jimbo hilo Dr.Steven Kebwe asiyezungumza Bungeni na Asiyefanya Mikutano ya Hadhara Jimboni Kwake Kusikia habari hizo Ameshituko na Kupaniki mpaka akaamua Kuanza Kuwapigia Simu Wapambe wake Jimboni.
 
Ama Kweli ni Pigo takatifu! Hii Imedhihirika Baada ya Uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Serengeti chini ya Viongozi wa Chama, Mwenyekiti wa Wilaya, Katibu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Chadema ni Msingi Wilaya ya Serengeti, Mwenyekiti BAVICHA, Katibu BAVICHA na Katibu Mwenezi Wa Wilaya hiyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Stand Kuu Mugumu-Mjini MH. MWL. MARWA RYOBA Kufanya Ziara ya Kukagua na Kukiimarisha Chama Jimboni humo ili Kujiweka tayari na Mapambano ya Chaguzi zijazo, Kwa Taarifa ya Katibu wa Wilaya hiyo Ndg. Ngereza Inasema Ziara hiyo Itafanyika Kwa Awamu Tatu, huku Awamu ya Kwanza Ikizihusisha Kata za Kibeyo, Manchira, Stand

Kamanda sijaelewa ulichoandika, tofauti ya kamanda na gamba ni uwezo wa kifikra nakuwakilisha! plz edit tena!
 
Ama Kweli ni Pigo takatifu! Hii Imedhihirika Baada ya Uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Serengeti chini ya Viongozi wa Chama, Mwenyekiti wa Wilaya, Katibu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Chadema ni Msingi Wilaya ya Serengeti, Mwenyekiti BAVICHA, Katibu BAVICHA na Katibu Mwenezi Wa Wilaya hiyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Stand Kuu Mugumu-Mjini MH. MWL. MARWA RYOBA Kufanya Ziara ya Kukagua na Kukiimarisha Chama Jimboni humo ili Kujiweka tayari na Mapambano ya Chaguzi zijazo, Kwa Taarifa ya Katibu wa Wilaya hiyo Ndg. Ngereza Inasema Ziara hiyo Itafanyika Kwa Awamu Tatu, huku Awamu ya Kwanza Ikizihusisha Kata za Kibeyo, Manchira, Stand

mbona taarifa yako haieleweki au umekurupushwa kuiandika,hapo cha maana ulichokiandika ni kipi?
 
Habari ni nzuri lakini mleta hoja hakujipanga kuleta maelezo yenye tija halisi kwa ladha ya walaji.
 
Mumsamehe kamanda wetu.. Ni mgeni.. Ndio kwaaaanza kamaliza chuo cha uandishi wa habari..!!
 
Ama Kweli ni Pigo takatifu! Hii Imedhihirika Baada ya Uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Serengeti chini ya Viongozi wa Chama, Mwenyekiti wa Wilaya, Katibu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Chadema ni Msingi Wilaya ya Serengeti, Mwenyekiti BAVICHA, Katibu BAVICHA na Katibu Mwenezi Wa Wilaya hiyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Stand Kuu Mugumu-Mjini MH. MWL. MARWA RYOBA Kufanya Ziara ya Kukagua na Kukiimarisha Chama Jimboni humo ili Kujiweka tayari na Mapambano ya Chaguzi zijazo, Kwa Taarifa ya Katibu wa Wilaya hiyo Ndg. Ngereza Inasema Ziara hiyo Itafanyika Kwa Awamu Tatu, huku Awamu ya Kwanza Ikizihusisha Kata za Kibeyo, Manchira, Stand Kuu, Nyamoko, Machochwe, Kitunguruma, Nyansurura, Kebancha, Rung'abure, Issenye, Natta n.k. Aidha amesema Wamepanga Kuzifikia Kata zote 28 Jimboni humo Kabla ya Mwezi wa Pili. Baada ya Mbunge wa Jimbo hilo Dr.Steven Kebwe asiyezungumza Bunguni na Asiyefanya Mikutano ya Hadhara Jimboni Kwake Kusikia habari hizo Ameshituko na Kupaniki mpaka akaamua Kuanza Kuwapigia Simu Wapambe wake Jimboni.

Umemaliza la 7 kweli? SIJAELEWA KITU
 
JobofWork.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
 
Back
Top Bottom