CCM yamteua Dkt. Florence George Samizi kugombea ubunge jimbo la Muhambwe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo. Zaidi soma >Atashasta Nditiye afariki dunia

Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo hilo ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mdogo Mwezi Mei, baada ya kampeni kufanyika kuanzia Aprili 4 hadi Mei 1.

1617125399724.png
 
Wasifu wake tafadhari mletauzi๐Ÿ“–๐Ÿ“–๐Ÿ“–
Huyu ni Dr wa binadamu kutoka Hosp za serikali ni mama mcha mungu mtaalamu wa masuala ya wanawake kapambana na Marehemu Nditiye kufa kupona wakati wa kampeni , Alikuwa Mbunge mteule na alimfanyia kampeni Marehemu Magufuri pia ila jina halikurudi bahati mbaya now naona Mungu kamuona Big Up tuko nyuma yako wana Muhambwe tunakutegemea mama yetu ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Huyu ni Dr wa binadamu kutoka Hosp za serikali ni mama mcha mungu mtaalamu wa masuala ya wanawake kapambana na Marehemu Nditiye kufa kupona wakati wa kampeni , Alikuwa Mbunge mteule na alimfanyia kampeni Marehemu Magufuri pia ila jina halikurudi bahati mbaya now naona Mungu kamuona Big Up tuko nyuma yako wana Muhambwe tunakutegemea mama yetu
Hii sifa ya ucha Mungu kwenye siasa imekaa kaaje?? Tumeshudia wanasiasa pamoja na kuapa kwa kushika vitabu vitakatifu bado wamevunja viapo na kutenda madhambi mengi sana, na wengine kufikia hata kutamka uwongo kwenye nyumba za ibada.
 
Huyu ni Dr wa binadamu kutoka Hosp za serikali ni mama mcha mungu mtaalamu wa masuala ya wanawake kapambana na Marehemu Nditiye kufa kupona wakati wa kampeni , Alikuwa Mbunge mteule na alimfanyia kampeni Marehemu Magufuri pia ila jina halikurudi bahati mbaya now naona Mungu kamuona Big Up tuko nyuma yako wana Muhambwe tunakutegemea mama yetu ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Si abaki uko uko hospital nchi ina uhaba wa madaktari bingwa lakini haina uhaba w a wanasiasa jamani mbona mnamaudhi hivi. Aaggh
 
CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo.

Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo hilo ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mdogo Mwezi Mei, baada ya kampeni kufanyika kuanzia Aprili 4 hadi Mei 1.

Jimbo linaenda Upinzani Zitto , Mkosamali Majimbo hayo.
 
Kwaio kigoma Kuna uchaguzi wa majimbo mawili,jimbo la nditie marehem na jimbo la mteule!!?
 
Huyu ni Dr wa binadamu kutoka Hosp za serikali ni mama mcha mungu mtaalamu wa masuala ya wanawake kapambana na Marehemu Nditiye kufa kupona wakati wa kampeni , Alikuwa Mbunge mteule na alimfanyia kampeni Marehemu Magufuri pia ila jina halikurudi bahati mbaya now naona Mungu kamuona Big Up tuko nyuma yako wana Muhambwe tunakutegemea mama yetu ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Sawa,pamoja na majibu mazuri ya mhe.Waziri,nina swali dogo la nyongeza,

Hivi kwa nini wilaya hii iliitwa KIBONDO lakini jina la Jimbo lake likawa tofauti kwa kuitwa Jimbo la uchaguzi la MUHAMBWE?

Kibondo asili yake ni nini na Muhambwe asili yake ni nini?

Kwa nini jina moja tu lisiwakilishe vyote viwili kama ilivyo, let say Nyamagana, Ukerewe, Magu, Hai, Simanjiro ama Ilemela?

Asante Mhe.Spika na nasubiri majibu ili nielimike kidogo.
 
Unauliza wasifu wake? CCM haifuati wasifu wa Mtu kumteua kuwa mgombea, ama sivyo wakina Kibajaj, Msukuma, Jah Pipo na Babu Tale wasingekuwa mjengoni!!!
Cdm ndoyo wanaofuata wasifu ndiyo maana wamefanikiwa kila nyanja
 
CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo.

Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo hilo ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mdogo Mwezi Mei, baada ya kampeni kufanyika kuanzia Aprili 4 hadi Mei 1.

Bwana JAMAL TAMIM amekuwa akijitahidi sana katika shughuli za maendeleo na wanaMUHAMBWE wanalijua hilo, na amekuwa mvumilivu sana japo kuna genge la baadhi ya viongozi linaloonesha kumpiga vita,
karibu kila mara amekuwa akiongoza kwenye kura za maoni ( kasoro mwaka jana ambako waliopiga kura walikuwa wajumbe wachache tu tofauti na miaka yote ambapo waliokuwa wakipiga kura ni wanachama wa CCM).

Wananchi wamekuwa wakimpenda na kumsikiliza sana hata mwaka 2015 wakati jina lake lilipokatwa kidogo kutokee vurugu, ikabidi awaombe wananchi kuwa watulivu na wavumilivu na akamuunga mkono MAREHEMU NDITIYE na kumsaidia!

Na hata HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI mwaka jana alimuambia BWANA JAMAL TAMIMU awe mvumilivu na kweli alisaidia kumpigia kampeni sana MAREHEMU NDITIYE na wala hakuonesha kukasirika,

Sasa mbunge NDITIYE kafariki, uchaguzi umefanywa na bwana JAMAL TAMIM aliombwa avumilie na MAREHEMU JOHN POMBE MAGUFULI,
sasa uchaguzi wa chama umefanyika na bwana JAMAL TAMIMU kashinda, kwa nini wanakata jina lake!? hawaoni watawawapa nafasi kina zitto aende kugombea MUHAMBWE na tupoteze jimbo!
 
Aisee...Dk.juzijuzi tu pale Kibondo ilikuwa mida ya asubuhi wakiwa wanajiaandaa na Kura za maoni ,tulikuwa na jamaa zangu alitusalimia kwa ucheshi sana mpaka tukashangaa kumbe alikuwa kwenye kampeni.Kila kheer Dk.
 
Hii sifa ya ucha Mungu kwenye siasa imekaa kaaje?? Tumeshudia wanasiasa pamoja na kuapa kwa kushika vitabu vitakatifu bado wamevunja viapo na kutenda madhambi mengi sana, na wengine kufikia hata kutamka uwongo kwenye nyumba za ibada.
Hii nchi bila unafki mambo hayaendi mkuu
 
Bwana JAMAL TAMIM amekuwa akijitahidi sana katika shughuli za maendeleo na wanaMUHAMBWE wanalijua hilo, na amekuwa mvumilivu sana japo kuna genge la baadhi ya viongozi linaloonesha kumpiga vita,
karibu kila mara amekuwa akiongoza kwenye kura za maoni ( kasoro mwaka jana ambako waliopiga kura walikuwa wajumbe wachache tu tofauti na miaka yote ambapo waliokuwa wakipiga kura ni wanachama wa CCM).

Wananchi wamekuwa wakimpenda na kumsikiliza sana hata mwaka 2015 wakati jina lake lilipokatwa kidogo kutokee vurugu, ikabidi awaombe wananchi kuwa watulivu na wavumilivu na akamuunga mkono MAREHEMU NDITIYE na kumsaidia!

Na hata HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI mwaka jana alimuambia BWANA JAMAL TAMIMU awe mvumilivu na kweli alisaidia kumpigia kampeni sana MAREHEMU NDITIYE na wala hakuonesha kukasirika,

Sasa mbunge NDITIYE kafariki, uchaguzi umefanywa na bwana JAMAL TAMIM aliombwa avumilie na MAREHEMU JOHN POMBE MAGUFULI,
sasa uchaguzi wa chama umefanyika na bwana JAMAL TAMIMU kashinda, kwa nini wanakata jina lake!? hawaoni watawawapa nafasi kina zitto aende kugombea MUHAMBWE na tupoteze jimbo!
View attachment 1739159
Dinatali unateseka Sana, lakin wajumbe wamefanya uhambwe
 
Unauliza wasifu wake? CCM haifuati wasifu wa Mtu kumteua kuwa mgombea, ama sivyo wakina Kibajaj, Msukuma, Jah Pipo na Babu Tale wasingekuwa mjengoni!!!
Hao uliowataja wana wasifu! Na wewe pia una wasifu wako, japokuwa hukwenda shule!
 
Back
Top Bottom