Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,007
- 9,873
CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo. Zaidi soma >Atashasta Nditiye afariki dunia
Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo hilo ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mdogo Mwezi Mei, baada ya kampeni kufanyika kuanzia Aprili 4 hadi Mei 1.
Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo hilo ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mdogo Mwezi Mei, baada ya kampeni kufanyika kuanzia Aprili 4 hadi Mei 1.