CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu

"Chama Cha Mapinduzi kitaendekea kupiga vita sera za udini, ukanda na ukabila lakini hakitaacha kutowatambua machifu na watemi. Hivyo kinawapongeza umoja wa machifu Tanzania kwa kumsimika@ Rais Samia Suluhu Hassan uchifu mkuu wa machifu wote nchini" Shaka Mwenezi Taifa

"Pamoja na kwamba sera za TANU na baadae CCM kutoruhusu tawala za kichifu na kitemi hiyo haina maana koo za kichifu na mchango wao kwa nchi yetu zisitambuliwe" Shaka Mwenezi Taifa

"Rais wa kwanza Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere ambaye ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kupiga vita himaya za kichifu na kukomesha ukabila ili kujenga misingi imara ya umoja wa kitaifa alikuwa akivikwa mavazi ya kimila na kupewa hadhi za uchifu kwenye makabila yote alipokuwa Rais wa nchi yetu" Shaka Mwenezi Taifa

"Wanaodai kitendo cha Rais Samia kupewa hadhi ya uchifu mkuu wa machifu wote nchini ni kushabikia ukabila waelewe kuwa hiyo ni hadhi inayotolewa kwa watu muhimu na waliotoa mchango mkubwa kwenye jamii zao kama ile itolewayo na vyuo vikuu duniani kote ikiwemo udaktari wa heshima" Shaka Mwenezi Taifa

"Hatuta shabikia ukabila, udini wala ukanda lakini muhimu ikafahamika CCM hakitabeza utamaduni, mila na desturi zetu ambazo ni chanya ikiwemo kuutambua utemi, uchifu na viongozi wa mila kwani kufanya hivyo sio kuendeleza ukabila" Shaka Mwenezi Taifa

"Baada ya mwalimu Nyerere kukomesha ukabila alionekana akivikwa mavazi ya kitamaduni na kiasili katika makabila mbalimbali, mzee Ali Hassan Mwinyi, Hayati mzee Benjamin Mkapa, Dkt Jakaya Kikwete na hayatI Dkt John Magufuli wote walitunukiwa heshima hizo." Mwenezi Taifa

"Kwa kuwa wapo washindani wetu wa kisiasa na wamekosa hoja basi watakosoa kila kitu ambacho CCM na viongozi wake itafanya. Hata mwanasiasa Theresa Ntare wa kabila la Waha huko kigoma alitambuliwa kwa heshima yake na akaitwa Mwami Ntare hata baada ya uhuru." Shaka Mwenezi Taifa

" CCM wakati wote itatambua, itathamini na itaenzi mchango wa machifu na watemi kama vile kina Mangi Meli, Chifu Kimweri wa Usambara, Mtemi Mirambo wa unyanyembe, Makunganya, Kinjikitile Ngwake na kina chifu Songea, Nkossy na Mkwawa ambao walikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru na ukombozi wa Mwafrika dhidi ya wakoloni" Mwenezi Taifa

" Machifu na watemi wameshiriki juhudi za mapambano kupinga tawala za kijerumani na kiingereza kwa kuwaeleza kinagaubaga waondoke ili wajitawale wenyewe" Shaka Mwenezi Taifa

"Hatuwezi kuzungumzia uhuru wa Tanganyika au mapinduzi ya Zanzibar bila kutambua na kuthamini mchango wa machifu, watemi, viongozi wa kijadi na kimila" Shaka Taifa

" Ndiyo maana katika kuenzi mchango wao yapo maeneo mengi ya umma yaliyopewa majina yao kama vile kuna mitaa imeitwa Kimweri, Makunganya; shule zinazoitwa Mkwawa, Mirambo nk" Shaka Mwenezi Taifa

"Uamuzi wa machifu na watemi kuamua kumsimika uchifu mkuu Rais Samia mkoani mwanza kutokana na umahiri wa uongozi wake katika kutetea maslahi ya Taifa" Shaka Mwenezi Taifa

End

IMG-20210909-WA0273.jpg
 
Kwa hiyo sera ya CCM inaamini katika machifu? haishangazi nchi haiendi popote zaidi ya miaka 60 ya uhuru...
 
View attachment 1930957
😍
 
Kongole kwake Komredi Shaka H.Shaka 👊

Eee Mwenyezi Mungu tutunzie chifu wetu mkuu Hangaya ,aaamen aaamen🙏

#SiempreChifuHangaya
#KaziIendelee
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#NchiKwanza
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Kwahiyo?? Nchi inamazz hii
 
Utopolo huu
 
Angalizo,
-Hao machifu wasije anzisha utawala ndani ya utawala,tutakuja kujilaumu siku za mbele
Watakusanya Kodi,watasikiliza mashitaka na kutoa hukumu ya kesi na adhabu.
Ninawaza tu,Uingereza wenzetu Wana Mfalme na Malkia.
 
IMG-20210908-WA0657.jpg
 
Back
Top Bottom