Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,821
- 93,595
Hata Sheilh PondaMtu pekee aliyemrudisha Mzee Waikela kwenye historia ni shehe Mohamed Said.
Hata Sheilh PondaMtu pekee aliyemrudisha Mzee Waikela kwenye historia ni shehe Mohamed Said.
Wameogopa aibuHuu ni unafiki kwa nini hawakwenda tangu mwanzo hadi shekhe ponda alipolalamika huko twiter ndo shaka kwa mashaka yake anajifanya kwenda.
Huyo mgonjwa amshukuru sana shekhe ponda bila hivyo hata asingejulikana.
Ugua pole mzee wetu.
Huyu wakoloni waliupa jina lake mtaa mmoja eneo la Ng'ambo Tabora, mtaa huo unaitwa Rehani.Jumapili 16 Januari 2022 Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amemtembelea na kumjuilia hali ya maendeleo ya afya yake Mzee Rehan B. Waikela aliyelazwa katika taasisi ya mifupa Muhimbili (Moi) akipatiwa matibabu.
"Chama Cha Mapinduzi na Serikali zake kinathamini na kujali kila mtu aliyejitoa na kujitolea kwa hali, mali, vitu, ujuzi na maarifa kufanikisha uhuru wa Nchi yetu na ukombozi wa Afrika. Mchango wao haupimiki wala hauwezi kuthaminishwa kwa chochote bali kwa kuwatambua, kuwajali na kuwatunza inaweza kuwa namna bora zaidi ya kutambua mchango wao.” Alisema Shaka.
Mzee Waikela amekuwa moja kati ya viongozi wa Chama cha TANU wakati huo ambaye alijitoa na kujitolea kwa hali na mali kuwapa ushirikiano wapigania Uhuru ili kufanikisha lengo hilo.
Historia inamtaja kuwa wakati viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, walipokuwa wakifika mkoani Tabora Mzee Waikela alikuwa akiwalaki kwa malazi, chakula na kuwapa huduma ya usafiri ili kuhamasisha harakati za Uhuru na Ujenzi wa Chama cha TANU wakati huo.
Pia soma > Bilal Rehani Waikela ni nani?
View attachment 2085164View attachment 2085165View attachment 2085167
Hatumuongelei huyo, kuna tapeli moja ndilo tunaliongelea huwa linapotosha sana HistoriaHuyo sio wa kariakoo,huyo ni wa tabora alijitoa sana kwa hali na mali.
Hongera kwake. Mungu amponye huyo mzee.Shukrani zimuendee Sheikh Ponda kwa kuibua habari za huyu mzee
Uko sahihi Mbowe kama mtoto wa mpigania uhuru mbona kutwa kuitisha maandamano kupinga CCM mbona watoto wa wapigania uhuru kama wa Nyerere ,Mwinyi,mzee Karume,Mzee Mzee Rupia,nk waliotulia mbona wako utawala wa nchiUliwahi kusikia mtoto wa Bilal Rehani akiandamana?
Kwa kumpa kesi ya ugaidi mtoto wakeNa mzee Aikaeli Mbowe mnamlipa hisani zake kwa kupata uhuru wa Tanganyika kwa kufanya nini?
Jumapili 16 Januari 2022 Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amemtembelea na kumjuilia hali ya maendeleo ya afya yake Mzee Rehan B. Waikela aliyelazwa katika taasisi ya mifupa Muhimbili (Moi) akipatiwa matibabu.
"Chama Cha Mapinduzi na Serikali zake kinathamini na kujali kila mtu aliyejitoa na kujitolea kwa hali, mali, vitu, ujuzi na maarifa kufanikisha uhuru wa Nchi yetu na ukombozi wa Afrika. Mchango wao haupimiki wala hauwezi kuthaminishwa kwa chochote bali kwa kuwatambua, kuwajali na kuwatunza inaweza kuwa namna bora zaidi ya kutambua mchango wao.” Alisema Shaka.
Mzee Waikela amekuwa moja kati ya viongozi wa Chama cha TANU wakati huo ambaye alijitoa na kujitolea kwa hali na mali kuwapa ushirikiano wapigania Uhuru ili kufanikisha lengo hilo.
Historia inamtaja kuwa wakati viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, walipokuwa wakifika mkoani Tabora Mzee Waikela alikuwa akiwalaki kwa malazi, chakula na kuwapa huduma ya usafiri ili kuhamasisha harakati za Uhuru na Ujenzi wa Chama cha TANU wakati huo.
Pia soma > Bilal Rehani Waikela ni nani?
View attachment 2085164View attachment 2085165View attachment 2085167
Uko sahihi Mbowe kama mtoto wa mpigania uhuru mbona kutwa kuitisha maandamano kupinga CCM mbona watoto wa wapigania uhuru kama wa Nyerere ,Mwinyi,mzee Karume,Mzee Mzee Rupia,nk waliotulia mbona wako utawala wa nchi
Mbowe Mkwewe Mtei ndie alimtoa akili kutojuelewa kuwa yeye ni familia ya mpigania uhuru kwa kunogewa na mke na alipopewa Chadema na Baba mkwe Mtei adui wa Nyerere akajisahau kabisa akajua kuwa hata ile Bilicanas Club ilikuwa nyumba ya familia kumbe ilikuwa nyumba ya NHC iliyokuwa na ofisi za usalama ndani baba yake ndie alijua ila kwa kuwa alimuona Mbowe bwege hakumpa siri
Mitoto ya wakubwa msiiojielewa mtajijua akashangaa grader inapiga chini bilicanas pamoja na uwekezaji wote alifanya kuambiwa lete hati ya umiliki kama ni ya baba yako akabaki kutoa mimacho tu kama mjusi kafiwa na mkwewe
Huyo mzee si kuwa kaibuliwa kuna wazee kibao maofisa vipenyo walifichwa majina yao waliopigania uhuru sababu kuwa walipewa nafasi nyeti kimya kimya usalama wa taifa kulinda uhuru uliopatikana lakini walipostaafu walilipwa vizuri mno ila matumizi yakawa mabovu ya pesa ndio baadaye wanakuwa na mikelele ohhh tumeifanyia mambo makubwa nchi ona sasa sasa tumetelekezwa!!! Mfano Yuko katibu mkuu wa Raisi Nyerere anaitwa Opiyo baada ya kustaafu kutwa alikuwa kulalamika magazetini kuwa serikali imemtelekeza baada ya utumishi uliotukuka wakati alilipwa mafao vizuri mno tena makubwa kipindi chake kuliko mfanyakazi yeyote wa serikali wakati huo
Tupe ushahidi km kweli kaenda kumsalimia kwa niaba ya ccm, au kaenda kwa binafsi yake. Watu wa kujipendekeza kazi mnayoJumapili 16 Januari 2022 Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amemtembelea na kumjuilia hali ya maendeleo ya afya yake Mzee Rehan B. Waikela aliyelazwa katika taasisi ya mifupa Muhimbili (Moi) akipatiwa matibabu.
"Chama Cha Mapinduzi na Serikali zake kinathamini na kujali kila mtu aliyejitoa na kujitolea kwa hali, mali, vitu, ujuzi na maarifa kufanikisha uhuru wa Nchi yetu na ukombozi wa Afrika. Mchango wao haupimiki wala hauwezi kuthaminishwa kwa chochote bali kwa kuwatambua, kuwajali na kuwatunza inaweza kuwa namna bora zaidi ya kutambua mchango wao.” Alisema Shaka.
Mzee Waikela amekuwa moja kati ya viongozi wa Chama cha TANU wakati huo ambaye alijitoa na kujitolea kwa hali na mali kuwapa ushirikiano wapigania Uhuru ili kufanikisha lengo hilo.
Historia inamtaja kuwa wakati viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, walipokuwa wakifika mkoani Tabora Mzee Waikela alikuwa akiwalaki kwa malazi, chakula na kuwapa huduma ya usafiri ili kuhamasisha harakati za Uhuru na Ujenzi wa Chama cha TANU wakati huo.
Pia soma > Bilal Rehani Waikela ni nani?
View attachment 2085164View attachment 2085165View attachment 2085167
Walimtupilia mbali kulamba asali.Huyo mzee ni miongoni mwa wale anao wazungumzia mara kwa mara Mohamed Said baada tu ya kupatikana uhuru walitupiliwa mbali na kuonekana si lolote si chochote lakini angalau mara hii wamempa heshima yake.
Kwa kuharibu mali za Mbowe na kumfunga jelaNa mzee Aikaeli Mbowe mnamlipa hisani zake kwa kupata uhuru wa Tanganyika kwa kufanya nini?