CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Haijalishi Membe ataenda chama kipi cha upinzani, athari kwa CCM ni negligible!

Ila akihamia ACT upepo wa siasa za upinzani nchini lazima uathirike!
 
Africa
87779699_3156349187743720_6832991117634437120_o.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona eeeh. Yaani kacheza kishamba sana. Kama kweli alikuwa ana nia ya kuchukua form alitakiwa acheze Pele. Wangestukia tu mpira golini.
Inajulikana wazi mwana ccm yoyote akitoka ndani ya ccm anakuwa sawa na Simba wa kuchorwa tu.

Atulie tu asimamie biashara zake, akijifanya mjuaji watamlegegeza kila kitu... Hizi nchi za kijamaa Chama na Raisi ndio kila kitu.
 
wabongo bhana! asingefukuzwa mngesema wanamuogopa, kipi mnachokiona ni sawa? Huyu Membe hawezi kuwa na nusu ya upepo wa Lowasa, amekuwa akijimwambafayi sana, aende tu, Zitto anamsubir, kama anapendwa itaonekana kule atakapo hamia, ila ndo amemalizwa hivyo!
CCM wamefeli sana kumfukuza Bernad Membe, ni bora wangefanya maamuzi magumu ya kumtoa jiwe 2020 ili wajikomboe kwenye balaa litakalowakuta uchaguzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe anachekesha kweli, hajui kuwa Membe team walikuwa wanataka afanye hivyohivyo. Sasa Moto uliowashwa kwa kumfukuza Membe mtaouona muda si mrefu.
Sio kwelu viongonzi wengi ndani ya ccn na serikali yao hawana uwezo binafsi wa kufanya jambo lolote hata ngazi wanazofiimkia kiutawal na uongozi wanabebwa na mfumo tu. Mtazame Nape wa enzi zile na wa sasa. Makamba mpaka kufikia level ya kushiriki kuchakachua matokeo ya watanzania leo yuko wapi?? Adinde tuone nguvu yake sasa
 
Ila pia yaweza kuwa hofu ya mwenye ndevu endapo Membe Kama angetia mguu kwenye kura za maoni,kuwa huwenda angedondoshwa.

Naanza kupata Shaka na uchaguzi huru na haki ambao jamaa alikuwa akiuzungumzia kwa mabeberu,nahisi Kuna mtu anaogopa kukompiti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom