Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

1544a97e6a64f3c41c37b8aeafe78748.jpg


Ipi taarifa sahihi kati izo mbili??
Kati ya viti 22, CHADEMA wameshinda 9 tu, na vilivyobaki 13 vimeenda Chama Tawala CCM.

Mahaba ya mtoa mada ndiyo yaliyomfanya title yake isiendane na content
 
Bado ni tetesi mpaka leo. Khaa!
Sasa nimeamini kuna baadhi ya watanzania wenzetu maisha yamewapiga mpaka wanachanganyikiwa. Magufuli legezakambi watu wajaribu hata kufisadi kidogo. Maana jana wachangiaji walikuwa wengi sana. Hivi kwanini watu wanaamini kila kitu ili mradi kinamkandia Baba Bashite??? Hata huko kwa baba Bashite nao wana ugonjwa kama wa hawa wa watoto wa DJ. Nafurahi sana kuona majibizano kati ya watoto wa Baba Bashite na Watoto wa Dj na baba wa wafagia barabara....me say
 
Hii ngoja imekaa ndivyo sivyo..... Si Simba wala si Yanga anayejitokeza kuleta habari zaidi

Mmetupa habari nusu nusu...... Tukiuliza mnapiga kimya.

Waenezi wa Vyama maeneo husika NIAJE?
 
Back
Top Bottom