CCM YALETA USUMBUFU MKUBWA KWA WANAFUNZI- SOKOINE UNIVERSITY - Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM YALETA USUMBUFU MKUBWA KWA WANAFUNZI- SOKOINE UNIVERSITY - Morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ange, Sep 29, 2012.

 1. a

  ange Senior Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 133
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Ni jambo lislokuwa la kawaida kwenye kipindi cha mitihani au marudio ya Mitihani (probation) kwa chuo kuruhusu activity yoyote ambayo huleta usumbufu kwa wanafunzi wanaojiandaa na mitihani, lakini cha kushangaza ni kwamba wanachama wa CCM wameruhusiwa kufanya uchaguzi kwenye eneo ambalo mitihani inafanyika na baada ya uchaguzi wameendelea na sherehe za kupongezana na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wanafunzi wanaojiandaa na mitihani ya kurudia. Tutajengaje taifa wakati hata tunaowandaa kuja kushika nafasi za uongozi tunawafanyia fujo zisizo na ulazima wowote?
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndo mfumo wa nchi. CCM WANAMILIKI KILA KITU KATIKA NCHI HII. C unaonaga wanafanyiaga vikao vyao hata ikilu?
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Chuo hiki kinatia aibu, utafikiri ni chuo cha CCM, Je chama kingine kama CDM wakija kufanya mkutano watakubaliwa. Unafiki na double standards.
   
 4. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ndio maana ya Chama Tawala
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chama twawala mmmm.
   
 6. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,733
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Si nasikia yule mpiga debe wao alibariki hizo harakati vyuoni ili kupata viongozi wasomi, nilimsikia akisema wamepata wagombea wengi wa NEC wasomi wa Vyuo Vikuu waliochini ya miaka 40.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Waacheni wafanye wanavyotaka kwani mwisho wao waja hakiki!


  ccm ni janga kwa Taifa letu jamani!
   
 8. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mie napita, nitarudi baadaye.
   
 9. C

  Concrete JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mleta mada vipi tena?

  Mambo kama haya unamwaga kabisa na picha au video.
  Hawa watu ni wepesi sana kubisha na kukanusha.

  Haya mambo yasiishie juu juu tu, uandikieni uongozi wa chuo na wizara ili watoe ufafanuzi ama tamko, na kila mnapopata nafasi kukutana na viongozi wa Chuo au serikali muwahoji tena hadharani.

  Halafu mnatakiwa kumwaga taarifa kama hizi kabla hawajaifanya.

  Yote kwa yote umefanya jambo la maana sana kutuhabarisha.
   
 10. C

  Concrete JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Tujifunze kuwa Proactive kwa kila jambo ambalo CCM wanataka kufanya, hii itawaogopesha sana.
   
 11. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Poleni sana huko ni ku-missuse madaraka kwani hatakama sio sawa kuruhusu shughuli nyingine wakati wa mitihani uongozi wa chuo unaogopa kuwakatalia. Inasikitisha!
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Kwani si wamefanya mkutano wikiendi?. Muda wa mapumziko.
   
 13. monakule

  monakule Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  poleni sana SUA
   
 14. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mzee, GT (Great Thinker) hakurupuki kama ulivyokurupuka, mleta hoja ange si kasema "watu walikuwa wanajiandaa na mitihani" au hujui kuwa katika kipindi cha kujiandaa na mitihani hiyo 'wikiendi' huwa kama vile haipo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...