Elections 2010 CCM yakirir Dr. Slaa kiboko yao.................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Tanzania Daima la leo limeripoti matokeo haya ya awali pamoja na utata wa uhalali wake CCM imemgwaya Dr. Slaa kwa mchango wake katika kupanua demokrasia hapa nchini...........
 
Tanzania daima letu kaka, i thought umesoma kutoka uhuru au mzalendo au mfanyakazi :)

anyways, dk yupo juu na ccm wanalijua hilo, 2015 wakae chonjo
 
hatusubiri 2015, mwizi akikuibia husubiri akirudi kukuibia tena ndio umshughulikie, fuatilia press conference ya shujaa wa demokrasia Dr Wilbroad Slaa leo hii saa nne asubuhi
 
Teh teh teh! Mlikuwa mnaulizana kama mtakuwa mnahudhuria sherehe ya kuapishwa Silaa... Sasa hiyo sherehe imeahirishwa mpaka 2015?

Halafu unataka kuingia Ikulu kwa wabunge 20 na mafastiledi wa kuazima? Teh teh teh!!!!!
 
Nyinyi c ndio mliokuwa mnapanga kuelekea magogoni? Imekuwaje tena mmeahirisha mpaka 2015?

Magogoni mchezo, tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Acheni hizo kamammekosa la kusema si mkae kimya . maswala ya mkeo kakojoa kitandani yanavhusu nini hamna jipya fungeni midomo tunakuja tusubirini . twaja kwa amani sio mfanyavyo nyie
 
shujaa wa demokrasia au wa kanisa,he is not a doctor in proffesion....kwa elimu ipi?he wanted to brainwash people like you in promising the world to u,kuwa kila kitu atatoa bure bure utafikiri hii nchi ni mali ya mama yake!nyie ni washabiki wa siasa na hamuangalii reality.ndio maana lipumba alimfananisha kama kichuguu
 
nadhani unatakiwa kurudi tena milembe wewe, kwa sababu hukumaliza dozi yako ya ukichaa....mwehu mkubwa!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom