CCM yakiri Nchi ipo kwenye matatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yakiri Nchi ipo kwenye matatizo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LAT, Feb 3, 2011.

 1. L

  LAT JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  CCM Admits country is in Problem

  Chama Cha mapinduzi has conceded that the country is in trouble by looking at the current problems, however it asked its supporters not to lose hope because they were normal and would end sooner than later

  Party Secretary general Lt(rtd) Yusuf Makamba said in Dar es salaam on tuesday that the country was undergoing a period that had happened in other countries before, But he hastened to say that, this should not be used by opposition political parties as a way of convincing people about their acceptability by deceiving them that CCM was failing in its endeavours, he further addressed CCM supporters saying taht this country was not the world heaven where everything is there to grab whenever one wants
  "even in heaven there is no job to do, you must have to sing for your God, is that not a job, he asked....

  in Kick starting the CCM 34 celebration the CCM stalwart said the raising fame of the opposition CHADEMA was something for concern , he however asked his supporters to feel proud because their party was in power

  The Citizen: 03/02/2011
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hahahahassa......ssiiiiki
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kumbe mbinguni hamna ajira ndo maana watu wanashinda kumuimbia Mungu!
   
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kauli ya kusema nchi ipo kwenye matatizo, si lolote si chochote; ingelikuwa jambo la faraja kwangu, kama mtendaji huyo mkuu wa ccm, angelikili wazi kwamba matatizo yanayoikabili nchi kwasasa, yamesababishwa kwa kiwango kikubwa na utendaji mbovu wa ccm, na hivyo akahaidi kufanya kila linalowezekana kurekebisha hali hiyo
   
 5. Mtembea_peku

  Mtembea_peku Senior Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha huyu mzee kachanganyikiwa nyie....mpelekeni mirembe asije fanya mambo ya aibu.........
   
 6. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :roll::roll::roll: I now believe Makamba is a careless leader for real
   
 7. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli UVCCM katika tamko lao la Dowans walikuwa makini kweli au wale jamaa sio watanzania!!!; Kama kweli UVCCM wanahitaji mtu wa kupima akili mbona wanae hata mtoto mdogo anweza kuliona hili, Jamani hivi tutaongozwa na hawa jamaa hadi lini huyu bwana hayupo serious na matatizo ya Watanzani sijui Rais anamuogopea nini? au Uchawi au nini Jamani haiwezekani kweli au Kikwete ni CDM!!! alienda pale kuuwa CCM!! kama hivi sawa nitaelewa, hayo majibu kuwa hata mbinguni hamna kazi inabidi wamwimbie Mungu what this F,jcjsc mnk mean?? ana maana gani kuwa tufanye kazi ya kumuibia yeye au!!! Hawa watu nchni imewashinda kiasi hiki!!!???
   
Loading...